Sasa hivi imekuwa ni kasumba kubwa ya watu kuweza kujipatia utajiri ama kuendesha maisha yao kwa nji za imani za kidini.
Kwa mfano, imekuwa ni kawaida kwa wahubiri wengi sasa hivi kutumia matatizo aliyo nayo mwanadamu kumvuta aende akajisalimishe mahali hapo na mataizo mengi ni yale ya...
Ndugu kuwa mzalendo kwa Nchi yako kwani ni usalama wetu sote. Taarifa yako ina seheu nyingi ambapo unaweza kuzipeleka, kuanzia ngazi ya kitongoji hadi taifa, na kote huko bado unaongelea usalama wa taifa. kwa hiyo kama una nia njema huwezi kushindwa wapi kwa kupeleka habari hizi.
ndugu nakushauri uachane nayo hiyo gari kwa sbb utatozwa gharama kubwa kwa sababu ya import duty itakuwa kubwa kwani hilo liko kwenye kundi la magari chakavu. tafita gari ya kanzia mwaka 2001.
wewe ni mpotoshoshaji tena usiyefaa kuigwa. sina hakika kama wewe unajua kiswahihili kama ulivyotoa fasili yako. kwani kupakatwa ni kiswahili cha kawaida mno.
Jaji Masati akasome upya Sheria, Sasa atuambie ni nani aliyeua wafanya Biashara hao pamoja na dereva taxi? Jaji Masati anapingana na mapendekezo ya Jaji Kipenka? Masati damu hawa watu iko juu yako. Jaji ulitaka ushahidi upi ungetosha kukushawishi na hata ukadiliki kuwaachia huru watuhumiwa? Hii...
Mtaalam huyu hajajibu matakwa ya wahitaji, kwani bado hajaeleweka kama hiyo ni tiba au dawa ya kurefusha maisha. Kwa maana kama ilikuwa inatibu hajasema ni dozi ya muda gani? na hizi dwa zinapatikana wapi? naomba anitoe kimasomaso.
Mwalimu kama kioo cha jamii na hata wazazi wote wanaokula uroda na wanafunzi wanatakiwa wachukuliwe hatua kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria kanuni na taratibu za utumishi wa umma,na pia sheria za nchi. Mwalimu anatakiwa kumlea mwanafunzi, kiakili kimwili na kiroho. Kiakili anatakiwa...
Mwakalinga asifikirie kirahisi hivyo, kwamba yeye atakapopewa jimbo la Kyela anaweza kulibadilisha jimbo kwa kuleta maendeleo makubwa tofauti na mbunge aliyeko madarakani na hata waliomtangulia. Pamoja na kuwa kugombea ubunge ni haki yake ya kikatiba bado Mwakalinga hawezi kufika mahali pa...
Generally and frankly speaking, kutengeneza tattoo nilivyoma kwenye somo la kilimo itmis used in animal identification, hivyo sikuwahi kufikiri kuwa ni alama muhimu kwa binadamu kujiweka hiyo mialama mwilini. Pili alama hii niliiona kwa mara ya kwanza niliiona kwa mwaliimu wangu aliyekuwa na...
Bw. AL asipewe useminari ikiwa yeye hajawi kuwa mseminari, hofu yangu kubwa ni kuwa anapewa utukufu asiostahili.
Pili bw. Liyumba anayo haki ya kikatiba ya kupata dhamana ila anachotakiwa kukifuata ni utaratibu uliowekwa kisheria wa namna bora ya kupata dhamana. Kimsingi kwa hili anatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.