FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,378
watu ake wa karibu wanatakiwa kumtuliza ..awe mtulivu kwa kipindi hiki mpaka hapo hali itakapokuwa shwari
mwacheni awajibike kwa makosa yake...........kama sio kweli pia itajulikana ila huwezi kumtia mtu hatiani kabla ya mkondo wa sheria kuingilia na pia huwezi kumwondoa mtu hatiani kabla haijathibitika kutokuwa na kosa.............
Jerry needs to calm down na atafute good lawyers watakaomsaidia ku-clear issue ya pingu, bunduki na rushwa... akiweza kumaliza ndio achape ya defamation
Kova rushed and he failed miserably kwa kushindwa ku-connect the dots
kama zangu.mmmh Jerry anahasira sana!!!!
kama zangu.
"........MWAGA MBOGA NIMWAGE UGALI.........."
Vyombo vya habari kwa sasa sio msaada sana kwake. Atafute Lawyers wazuri tu au aombe huruma ya watawala wetu.
Join Date: Tue Apr 2009Sioni kosa kwa Jerry kusema Kova ni mtu mdogo. Unajua watanzania tunakosea kuwapa kichwa hawa viongozi wetu na hii culture at the end of the day inatuumiza sisi. Hawa watu wako madarakani kutulinda sii na kufanya what is best for us. But this culture ya SYSTEM inawapa kichwa kufanya lolote baya thinking they are above the law. Hawa wote ni watumishi wetu, tumewaweka hapo watufanyie kazi kwa sheria na sio kutukandamiza. Power to the people lets bring that back.
Join Date: Tue Apr 2009
Posts: 10
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0