Recent content by mbagasa

  1. M

    JamiiForums Tanzania GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Typing............
  2. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

    wanauhimu sana wanadiaspora watatusaidia hata kutupa habari jinsi mafisadi yanavyochakachua pesa za wananchi yanapokwenda ng'ambo."SOMETHING IS BETTER THAN NOTHING"
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

    lakini ziko wapi bandari za mtwara na tanga kama bandari ya dar es salaam imezidiwa?au ndio zitolewa kama offer kwa wawekezaji.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    hayo ni mawazo yao,tuwaachie wao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Zitto aigalagaza Serikali, Spika ashindilia msumari wa moto!

    Si walishazoea tabia za kasuku,wanadhani bungeni kumejaa mazuzu,acha waaibike na 2015 tunawapiga chini wote.
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM hawakamatiki wala Hawashikiki

    huyu jamaa anafunikwa na gamba nini?he is full of non sense.mabomu na risasi n kwa ajili ya vita na wala si kwa ajili ya kuzima nguvu ya umma,nguvu ya uma haaushindwi na mabomu yanayoweza kujilipuka muda wowote.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mabomu na risasi za moto zachafua mji wa geita leo.

    Ni haki yao kuandamana,hao polisi walaaniwe kama ni kweli kuna watu wamepigwa risasi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa JOHN MNYIKA atoa ufumbuzi wa tatizo la MAJI eneo la KIMARA hadi UBUNGO

    usikate tamaa mnyika,tungeweka gamba hata lisingesema chochote,jipange tupiganie wananchi wako bwana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mbunge Shibuda alikuwa wapi wakati makamanda wetu wengine wakiwa katika harakati za ukombozi?

    alikata tamaa akijua kwamba magamba yatabebwa tena arumeru kama ilivyokuwa igunga,kumbe hata kubebwa tu haya bebeki.
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM haitakufa na itaongoza milele: Nape Nnauye

    Sidhani kama alimaanisha kukisema kilicho moyoni mwake,na nafikiri aliongea domo lake likiwa linatetemeka na pasipokujiamini.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

    hata mbuyu uli.....
  12. M

    JamiiForums Tanzania Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

    huyu mama sioni kazi aliyoifanya ikaonekana tangu ateuliwe UN,ikitokea kapewa nchi si dhani kama nchi itafika mbali kutakuwa hakuna jipya zaidi ya kuwa na mawaziri wote wa kike na wanaume tanzania tutalipiwa mahali 2kitaka kuoa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa kike aliyelipa m 7 kufanyiwa shoo peke yake

    acha mama sharobaro...milionea apige bata na kibabu junio,ila siku zao zinahesabika,wakiona tunaanza kujichoma moto karibia na magogoni pale watakiona labda waende kwa kicameroon wakiwa na mafuta laini.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kumsusa Kikwete, CHADEMA wamevuna mahindi au Mabua?

    kichwa ni kichwa tu,mkia hufuata baadae.log out...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thaman ya Bil 9 Tsh

    not delivered at all.
Back
Top Bottom