Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thaman ya Bil 9 Tsh

Habari imekaa kigegereka.

Nahisi mreta hii habari kapotea mlango alifikiri anaandika kwenye gazeti la udaku kumbe yupo JF.

Kasahau kuwa huku hakunaga kuremba,porojo na mbwembwe hata kama jina la raisi lipo au baba yako hapa jf we lipua tu.
Hakuna wa kukuchifupa hapa ni full maulinzi.

LEGE, mimi nilijuwa naleta habari hii katika JF, sikuandika bali nime cut na ku-paste... Nilitaka tuone namna inavyoanza kuwa vigumu kwa wazarendo kuonesha uzarendo katika nchi yao..

Nzowa sasa hivi anategemea ulinzi kutoka kwa Mungu na siyo serikali yake. Magufuri aliwahi kupewa ulinzi wa serikali ili aendeleze kazi yake katika serikali ya Ben, sasa hivi Pinda anapinda na kumpiga stop, Kikwete naye anampa mikwara ... Mwakyembe kosa lake ni nini? Ni kufanya uchunguzi wa kizarendo dhidi ya ufisadi wa Richmond? Kakosea nini Dr Mwakyembe..

Tatizo la nchi hii kwakweli ni kubwa na gumu kuliko tunavyoweza kufikiria... Ndiyo maana tuna baraza la mawaziri ambao wapo kama hawapo. Huenda wanafaham uzarendo hautakiwi na hauhitajiki kwa sasa ...

Je, wewe unaonaje ?
 
Hakuna kitu hapo upuuzi mtupu eti kuepusha kuharibu upelelezi,xxxxxxxxxxxxx

nimekasika sana kusikia hilo neno,hivi nyi waandishi hamjifunzi kwa JICHO PEVU? Nendeni kenya mkapate elimu kidigo hebu mwangalie huyu mwandishi wa kenya KTN anavyo weka wazi mambo,nyie mnatuletea longolongo hapa,tokeni zenu huko

KTN (Jicho Pevu) Paruwanja la mihadarati (The untouchables) - Part 1/2 Videos, Watch Free KTN (Jicho Pevu) Paruwanja la mihadarati (The untouchables) - Part 1/2 Videos Online : IN.com

waandishi wetu waliowengi ndio wanaoficha haya mambo,natamani sana hawa jamaa wa JIVU PEVU ndio wangeipata hii issue tungefurahi wenyewe
 
Uandishi wa staili hii huu nao pia ni utapeli wa habari.....hawa wanatofauti gani na kibaka anayekuonyesha simu halisi halafu anakufungia sabuni kwenye karatasi!!!!!
 
Na Mwandishi Wetu
SAKATA la Morine Liyumba ambaye ni binti wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu, Amatus Liyumba, kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’,..

Kamanda Nzowa aliwahi kuliambia gazeti hili kuwa amekuwa akipokea simu mbalimbali za vitisho kutoka kwa watu asiowafahamu kutokana na kazi yake.Alipoulizwa anafanya nini ili kujihami na watu hao, alisema mara nyingi huwa anamtegemea Mungu. “Mimi namtegemea sana Mungu na ndiyo maana mara zote utanikuta nikiwa na Kitabu cha Biblia Takatifu na huwa nasoma Zaburi ya 23
Source: Global Publishers

Tuli aminishwa kuwa simu zikisajiliwa itakuwa rahisi kukamata waharifu, kama ni hivyo kwanini wasi wa-trace wahalifu kujua ni nani anayetoa vitisho na yuko wapi? Kamanda Nzowa usiwe zoba, trace waharifu hao kupitia namba walizo tumia vinginevyo tuna amini kuwa unawafahamu lakini huwawezi kwani ni miongoni wakubwa zako kikazi!
 
Hakuna kitu hapo upuuzi mtupu eti kuepusha kuharibu upelelezi,xxxxxxxxxxxxx

nimekasika sana kusikia hilo neno,hivi nyi waandishi hamjifunzi kwa JICHO PEVU? Nendeni kenya mkapate elimu kidigo hebu mwangalie huyu mwandishi wa kenya KTN anavyo weka wazi mambo,nyie mnatuletea longolongo hapa,tokeni zenu huko

KTN (Jicho Pevu) Paruwanja la mihadarati (The untouchables) - Part 1/2 Videos, Watch Free KTN (Jicho Pevu) Paruwanja la mihadarati (The untouchables) - Part 1/2 Videos Online : IN.com

waandishi wetu waliowengi ndio wanaoficha haya mambo,natamani sana hawa jamaa wa JIVU PEVU ndio wangeipata hii issue tungefurahi wenyewe
Engineer Mtolera, pole mkuu lakini kumbuka kuwa hapa ... there are currently 125 users browsing this thread. (34 members and 91 guests) na wengine waliopo hapo huenda ni wahusika wa mtandao huo wakifuatilia hili songi taratibi ... huwezi kujuwa mkuu, chukulia hii kama habari tu lakini ukweli utafichuka baadae
 
Mh Changa la macho hilo. Global publishers, Nzowa, Mkuu wa Kaya wote ni wamoja. Hakuna mzalendo hapo. Bangi ikikamatwa utaona Kwenye tv inachomwa. Tokea Enzi Za Mzee wa ruksa sijawahi ona wala sikia unga umechokwa. Sijui wanahifadhi Wapi wakiukamata? Nchi hii jamani ni Kama dangulo. Kila mtu anaruhusiwa kupiga show.
 
Engineer Mtolera, pole mkuu lakini kumbuka kuwa hapa ... there are currently 125 users browsing this thread. (34 members and 91 guests) na wengine waliopo hapo huenda ni wahusika wa mtandao huo wakifuatilia hili songi taratibi ... huwezi kujuwa mkuu, chukulia hii kama habari tu lakini ukweli utafichuka baadae

haina shida kila mtu anaichukulia hii kama habari,tatizo ni pale mwandishi anavyo dai kuwa majina yamehifadhiwa kwa ajili ya upelelezi na hata kama wapo humu wahusika inabidi waka mmalize mwandishi maana ndiye mwenye majina yao na kasema kabisa kuwa ameyahifadhi

mimi nancho walaumu ni kwamba wajifunze kwa JICHO PEVU,sio kutuletea habari zilizojificha na kutupa hamu ya kutaka kujuwa zaidi

mimi nachukulia kama habari hii ni uzushi tu,hawana majina wala nini,lengo wauze habari tu
 
Kuna magazeti mengine title na content kwao humaanisha vitu viwili tofauti,me nilitegema nione hayo majina ya vigogo waliotajwa
Ila ninachoamini ni kwamba hii swala la hawa watu litasahaulika kama tulivyosahau matukio mengine,system ile ile itawabeba watu wake
 
kama kamanda mkubwa wa jeshi letu anaishi kwa hofu kiasi hiki je mwananchi wa kawaida atawezaje kuwa huru

Halayu! we're not supposed to take for granted kuhusiana na vitisho vya kupitia simu, makampuni ya simu yote yanatakiwa kushirikiana na dola kwa sababu info zote na records zinatunzwa kiasi cha kutosha, watakapokamatwa hawa wawe mfano! isije ikawa na usalama wa taifa wamo!
 
haina shida kila mtu anaichukulia hii kama habari,tatizo ni pale mwandishi anavyo dai kuwa majina yamehifadhiwa kwa ajili ya upelelezi na hata kama wapo humu wahusika inabidi waka mmalize mwandishi maana ndiye mwenye majina yao na kasema kabisa kuwa ameyahifadhi

mimi nancho walaumu ni kwamba wajifunze kwa JICHO PEVU,sio kutuletea habari zilizojificha na kutupa hamu ya kutaka kujuwa zaidi

mimi nachukulia kama habari hii ni uzushi tu,hawana majina wala nini,lengo wauze habari tu
Engineer nakubaliana na wewe mkuu ...kweli kuna tatizo hapo..lkn habari hii inatupa masomo mengi.. huenda unafiki wa waandishi unatokana na kukosekana kwa ulinzi wa kutosha kwa wazarendo na wana wa nchii hiii. Nimetowa mifano ya Dr Mwakyembe, Dr Magufuli, Nzowa na sasa waandishi.. je mimi na wewe tupo salama kiasi gani? Au hii nayo ndiyo sababu ya kuficha majina yetu? Afadhali wewe umetumia jina lako kamili Eng. Mtolera ???
 
Hakuna kitu hapo ndio mwisho wa habari, upelelezi unaendelea mpaka tutimize miaka 50 mingine
 
Engineer nakubaliana na wewe mkuu ...kweli kuna tatizo hapo..lkn habari hii inatupa masomo mengi.. huenda unafiki wa waandishi unatokana na kukosekana kwa ulinzi wa kutosha kwa wazarendo na wana wa nchii hiii. Nimetowa mifano ya Dr Mwakyembe, Dr Magufuli, Nzowa na sasa waandishi.. je mimi na wewe tupo salama kiasi gani? Au hii nayo ndiyo sababu ya kuficha majina yetu? Afadhali wewe umetumia jina lako kamili Eng. Mtolera ???

hahahahahaha
Nashukuru sana mkuu
ni kweli kabisa hatupo salama na si unamwona hata Polisi ambaye tulitegemea ndie angekuwa imala zaidi bado anatishiwa nyau,mimi nilidhani wakati akitishiwa nyau ndio ulikuwa wakati mwafaka wa yeye kushirikiana na makampuni ya simu ili kuweza kuwaweka hadharani hao wanaolitishia nyau jeshi letu la polisi,lakini kama hata yeye anamtegemea mungu ktk jambo lipo ktk uwezo wake basi kuanzia mimi,wewe,polisi,raisi,wabunge na wananchi kwa ujumla hawapo salama ila wauza unga ndio wapo salama na ndio wanao iongoza nchii hii.

kwa upande wangu nitashangaa sana kama nitasikia kuwa wamekosa ushahidi ktk hizo dawa alizokamatwa nazo huyo dogo
 
Ndiyo ujuwe hapo kuna kitu, kama polisi mkubwa anaomba ulinzi kutoka kwa Mungu, mengine utajaza wewe.. Kumbuka yule polisi aliyekuwa shahidi muhimu kwenye kesi ya wafanyabiashara waliouawa jinsi alivyougua na hakupona, kumbuka kamanda Kombe alivyouawa na wauwaji wameachiwa huru kwa msamaha wa rais !!! Hiyo inatosha kuwafanya police nao wafahamu ni binadamu wanaoweza kufa au kuuawa... hali ni mbaya mkuu..
 
Get rich or die trying!ajali kazini wana wa magomeni,ilala na kino msikate tamaa!!!mtu anaingia mtu anatoka!
 
Back
Top Bottom