Recent content by Mazoea

  1. M

    Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

    Na huyo W.J.Machela mbona anataka kupotosha watu au anadhani wote hawana akili kama zake.
  2. M

    Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

    Kwanza huyo mrembo tujue kiwango cha Elimu yake kwanza ndo tuanze kubishana nae kuhusu anayoyasema.
  3. M

    Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    Ukweli na uongo cku zote havikai meza moja
  4. M

    AG amemdhalilisha Halima Mdee bungeni

    Jamani mimi nakataa tena nakataa wakurya hawko hivyo wala wakurya hawashikwi makalio kwetu ni mwiko kwa mwanaume kushikwa makalio
  5. M

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    HIlo ndo jembe bana mtazusha kila aina ya maneno lkn mtaambulia patupu
  6. M

    Dr Nchimbi ameunda Kamati sio Tume

    Hiyo waliunda Tume sasa wameumbuliwa ndo wanakumbuka shuka huku kumeisha kucha Chezea Lissu makini huyo jamaa
  7. M

    Dr Nchimbi ameunda Kamati sio Tume

    Mbona kwenye hiyo rejea ya hiyo kamati ya Nchimbi hakuna kuwatambua wauaji ameongelea mambo mengine tu?
  8. M

    Dr Nchimbi ameunda Kamati sio Tume

    Hiyo waliunda Tume sasa wameumbuliwa ndo wanakumbuka shuka huku kumeisha kucha Chezea Lissu makini huyo jamaa
  9. M

    Chadema wanakuwa double standard polisi wanapo wauwa wafuasi wa vyama vingine

    Hebu wewe RIZ na mimi naomba nambie ni lini Mwanachama wa ccm aliuwawa na polisi?
  10. M

    Mtei akoleza moto wa Mnyika

    Kaa hapo karagabaho Rais akisema mtu akamatwe atakamatwa na akisema asikamatwe hakamatwi rais alishasema warudishe hawatashitakiwa sasa hapo napo unataka mwalimu wa kukufundisha jambo dogo kama hilo.Halafu ujue kambi ya upinzani haiongozi nchi so hata bajeti yao ikiwa mbaya au nzuri aina madhala...
  11. M

    Nani alimpa uchungaji Msigwa? Kwa nidhamu mbovu anayoionyesha bungen!

    Mchungaji Msingwa ni mbunge jasiri asiyependa kunyanyaswa cku zote mtu jasiri huonekana mbaya mbele ya watu waoga,watu tupo nyuma yako Mchungaji Msigwa usiogope hao waoga wa ndiyo wa kila kitu, wanauliza nani kampta uchungaji mbona hawaulizi nani kampa udoctor.
  12. M

    Nimeichoka clouds fm kwa unafiki

    Kama wao kweli ni wakweli wayaseme hata maovu yao pia wanayoyafanya ya kupeana mimba na mengine mengi tunayoyajua.Haiwezekana Radio mwanzo mwisho wanasema mambo ya wengine tu na tena wakiegemea upande mmoja.Radio inatakiwa isifungamane na upande wowote pengine iwe imeanzishwa kwa madhumuni hayo...
  13. M

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Akiwapeleka mafisadi mahakamani mimi ntamuunga mkono na isitoshe ndugu huu co wakati wa kutishana watu wameamka mwache aseme kile anachokiona co kizuri wewe fanya kizuri zaidi ili aonekane kachapia lkn co kukaa unatishia watu dunia imeamka baba kaa na ukada wako hapo.Na kama unampenda na...
  14. M

    Ridhiwani Again

    Tatizo siyo Mnyika kama unavyotaka kujifariji na kumsukumia lawama zisizo zake unataka mbunge achimbe visima au wewe ni msahaulifu kiasi hicho bunge lililopita hukusikia Mnyika akiongelea kuhusu maji wabunge wana mambo mengi na tatizo ni mfumo mbovu ulo wekwa na nyie mafisadi ambao mmetawala...
  15. M

    Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Mimi cna haja ya kujua cv yake lkn kwa hii bajeti ameonyesha ameshindwa kupunguza makali ya ugumu wa maisha kila kitu kimepanda juu kodi juu hata kwa cm je huo mpango wa wananchi wa vijijini kuwa na cm utawezekana?
Back
Top Bottom