Ridhiwani Again

Ridhiwani Again

BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?

Guys let us be serious katika issue kama hizi. I hope una chanzo chako cha hii taarifa why can't you disclose? Tulitegemea kwa mfano; ungetuwekea orodha ya waliopata viwanja ili jina la Riz One tulione
 
Hivi ni vile viwanja vya Gezaulole? bora mimi hata fomu sikujaribu kuchukua

.
Aise mimi hivi viwanja nilijaza form na kulipa Tsh. 20,000 na sikuwahi kuona hata dalili ya kupata jibu la kukosa au kufanikiwa. Kumbe masikini watanzania fukara walikuwa wanachangishwa na halmashauri za miji kumnunulia mwana mfalme mashamba? Laana hii haitawaacha hawa watawala washuke kaburini kwa amani hata kidogo.
.
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.

Ewe unayejiita Barak Obama, Nakushauri kama hujui kuanzisha mada mpya basi usichanganye mada ndani ya mada ili kupoteza watu ushahidi. Pia ujue kuwa Mh. Mnyika sio mzazi wako kwa kutegemea akutatulie matatizo yako ushauri wangu ni kwamba rudi kijijini kwenu maisha bado nafuu sana kama kasi ya mfumuko wa kupanda kwa gharama za maisha ya DSM huiwezi.

Katika Bajeti ya Taifa yeye Mh. Mnyika ni Waziri kivuli hivyo ni wajibu wake kuelezea kwa upana wa Taifa na sio Ubungo pekee.... Kwanza yaelekea hata kura yako hukumpatia sasa unadai nini! Si uende kwa Hawa Ngúmbi akakusaidie!
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
Sasa ndg unalalama kununua maji lita 20 kwa shilingi 1000 wakati huohuo unanunua maji ya Kilimanjaro lita 1 kwa shilingi 1000!?!?!.
 
Ngoja wamalizie kujivinjari kwani miaka miwili kabla ya kiama sio mbali!
 
Hivi ni network zimeingiliana? Au macho yangu. Maana naona mara riz 1 mara mnyika. Sielewi wakuu.
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.

Tatizo siyo Mnyika kama unavyotaka kujifariji na kumsukumia lawama zisizo zake unataka mbunge achimbe visima au wewe ni msahaulifu kiasi hicho bunge lililopita hukusikia Mnyika akiongelea kuhusu maji wabunge wana mambo mengi na tatizo ni mfumo mbovu ulo wekwa na nyie mafisadi ambao mmetawala miaka 50 mpaka sasa lkn hakuna maendeleo unayoyataja eti mbunge ayalete jimbo la umbungo mafisadi mmelifanyia nini kabla ya Mnyika hizo ni shutuma za uongo wakati mnajua ufisadi wenu ndo umeua hii nchi na sasa mnaona kiama kinakuja mnabaki kitapatapa mwisho wenu umefika jiandaeni kwenda jera kwa wizi wenu
 
Tupe chanzo mkuu, tusije tukadhani ni udaku.
 
Watz hatufiki kokote ,,,, wengine wanakula kuku kwa mrija wengine twashashabikia,,,, we are not serious kwenye mambo ya msingi,,,, viwanja bado lakini ....................... hilo lawezekana maana hao watawala ( kula kuku kwa mrija)
 
wewe na huyo mleta huu uzi wote mpo pori moja.........wasaka nyoka.

aliyeleta hajathibitisha, na wewe unayekanusha hujathibitisha kanusho!!

sawa na kenge mwenye mkia anayefikiri kenge asiye na mkia sio kenge bali ni mjusi.!
:llama::llama:

Labda ni riz mwenyewe au nduguye au anajua ukweli wa mambo ulivyo. Atujuze basi
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
Alitaka kuyazungumzia wakamtoa nje.....angemaliza bila kuongea unachotaka kukisikia then ungelalamika,bunge halijaisha,vuta subira.
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
we labda unakaa mtera, hakuna bei hiyo ya maji kwenye jimbo letu, silly thread, silly gamba. Tunajua njama zenu magamba za kumhujumu mnyika lakini sie wapiga kura wake tupo nyuma yake. Mnyika anafanya kazi kubwa sana jimboni, usirudi kutuletea us.....e wako hapa
 
Viwanja 40 for 4m? What a joke! Hata kijijini kuwezi kuvipata kwa hiyo bei.
 
Nadhani hesabu zako haziko sawa, kwa viwanja 40, bei ya chini ni Tshs 4,800,000 ......ingekuwa 192,000,000

Lakini Ridhiwani kweli anaweza kununua High density? Jipange uje sawa sawa

BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?
 
Out-of-focus!
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
 
Tupo hapa tulipo kwa sababu ya UDHAIFU wa Rais Kikwete, Bunge legelege na upuuzi wa CCM- J J Mnyika - Mbunge Ubungo
 
Aisee this is Dhambi--- we will kill him and we want to let him know that his days are numbered na kama TEMEKE --- TUKO BENET Asubiri tuu kama anatumia nguvu ya baba yake kutufilisi baasi ataiona. THIS IS A WARNING
 
Back
Top Bottom