Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

WILIIAM jOHN MALECHELA.....MSANII UNAYEJIITA LE MUTUZ....

NAOMBA NIKUAMBIE NA TENA NIKUHAKIKISHIE KUWA HAUNA MORAL AUTHORITY YA KUFANYA MAJADILIANO NA MZEE WARIOBA SEMBUSE HILI LA KUJIBIZANA NA MZEE WARIOBA.......

WEWE KAZANA NA BIASHARA ZAKO NA TENA NAKUSHAURI UACHANE NA SIASA...WATU WANAOIPENDA TANZANIA WANAWEZA KUKUANGUSHIA KIBANO SAA YOYOTE...

NI VIZURI UKAJIFUNZA TABIA NJEMA..MZEE WARIOBA ANAWEZA PIA KUWA BABA YAKO...
 
- Warioba ameongea ni wajibu wa kila Mtanzania kumjibu, Bulembo ni mwananchi na ni Kiongozi wa CCM ana haki ya kumjibu Warioba, Warioba amekosea sana kujaribu kuwalazimisha wananchi maoni yake badala ya kuwasikiliza tu kama anavyotakiwa kisheria, ni vyema Warioba akajizulu sasa mapema kuliko kusubiri aibu.

- BAada ya Rasimu ya katiba kupitishwa kama muswaada bungeni, ulikuwa ndio mwisho wa habari, CCM haiwezi kulazimishwa maneno ya Warioba na Chadema, Sheria ipo wazi kwamba CCM ndio majority na ndio wenye final say na katiba mpya, Chadema na Warioba wangeomba huruma ya kusikilizwa sio kutusisha na matusi na vitisho vya kujizuulu atoke tu ili apate nafasi ya kusema maoni yake huru.

Le Mutuz
Kumbe hicho kichwa kimejaa kamasi badala ya ubongo! Nani kakueleza kuwa Rasimu ya Katiba = Muswada wa mabadiliko ya Katiba?

Foolish!!
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakdati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Siyo kweli. Huu ni upotoshaji.
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Kumbe kweli nimeamini kuwa Bulembo alijazwa ujinga na Le Mutuz!! Hayakuwa Maneno yake.
 
Kwanza huyo mrembo tujue kiwango cha Elimu yake kwanza ndo tuanze kubishana nae kuhusu anayoyasema.
 
Na huyo W.J.Machela mbona anataka kupotosha watu au anadhani wote hawana akili kama zake.
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Watu wengine mnazo akili za kuazima. Mbona husomeki , ukiona hivyo hiki ni kizazi cha mafisadi hakitaki mambo yabaadirike ,unapenda yakae hivi hivi watu wasipewe elimu mzidi kuwafisafi, mutuz imekura kwenu , subiri katiba iwamlize wapenda dezo
 
- tunaishi kwa Sheria sio kanuni, Sheria ipo wazi Warioba hana mamalaka ya kuwaamulia wananchi Katiba, ila anayo mamalaka ya kukusanya maoni yao na kuyaandika chini, Warioba hana mamlaka yoyote kikattiba ya kuwaambia eti Viongozi wa Saisa wakae chini kujadili tena Rasimu, Rasimu imeshaenda Bungeni imepitishwa na Wabunge wa Chadema na CCM, sasa inasubiri saini ya Rais iwe Muswaada na kujadiliwa na Wabunge,

- Labda nikukumbushe historia kidogo, kule USA ni Republicans ndio walioamua kupunguza mafao ya Marais wao kwa sababu ya wingi wao bungeni, na ni wao ndio walioamua kupunguza malipo ya welfare ya wananchi wao bila kujali uchache wa Democrats bungeni kwa sababu Sheria inasema ni majority ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria, CCM ndio wenye mamlaka ya mwisho kisheria ya jamhuri kuamua katiba mpya iweje sio Warioba na Chadema.

Le Mutuz
Unazeeka vibaya sana!
 
Warioba yuko sahihi kabisa. Anachofanya warioba ni kutoa na kutetea maoni ya wananchi aliyoyakusanya. Serikali 3 hajasema warioba, Hayo ni maoni ya wananchi, Wanaotaka sereikali 3 waitetee kwa hoja sio kwa nguvu. Tatizo ni kwamba sasa hatuna viongozi wenye ushawishi wa kutetea hoja na ndio maana nilimsikia kiongozi mmoja pale Zanziba akisema serikali 2 ni lazima, Sasa sijui ni lazima kwa chama chake au kwa wananchi. Ni vizuri wakaelewa kuwa wananchi hawalazimishwi maana siku ya mwisho wataamua kwenye sanduku la kura
 
- ha! ha! ha! ha! ha! imenivunja mbavu sana fungua thread ya wavuta bangi CCM, lakini hapa umeingia mahali sio pako, Sheria ya jamhuri ipo wazi kwamba Warioba na Chadema pamoja na CUF hamna nguvu ya kubadili katiba ni CCM tu yenye wabunge 280 ndio wenye haki kwa sababu inawakilisha wananchi wengi sana wa Taifa hili sio Chadema wala Warioba.

Le Mutuz

Hapo ndio unakosea, katiba ni mali ya wananchi wa Tanzania, na wanaopaswa kuibadili ni wananchi wala sio chama cha siasa. CCM inafanya makosa kutumia idadi yao kumiliki mchakato wa Katiba ilihali katiba ni ya Watz wote wenye vyama na hata wasio na vyama.
CCM inapinga suala la maadili kuwekwa kwenye Katiba wakati wananchi wanataka liwepo kwenye katiba, maana yake ni nini hapa?? Je CCM haiheshimu mawazo ya Watz??
Inawezekana Bulembo hajui madhara ya ulimi wake, alisahwahi kusema sehemu fulani kuwa CHADEMA ni chama cha Wachagga na makabila ya Kaskazini, sijui kama anafahamu madhara ya maneno yake. Nafkri mwenyekiti wa CCM Kikwete kaona Busara ya Watz na hatausaini mswaada, sijui, ngoja tuone kama atathamini Watz karibia milio 40 au atathamini CCM milion 5.??
Ila namuona kama Bulembo anafika ukomo wa kisiasa, sijui
Time will tell
 
- Rais hakumpa wajibu wa kuwafokea wananchi kwamba Serikali Tatu lazima zitakuwepo, na hakumpa wajibu wa kupiga piga kelele majukwaani alichotakiwa ni kukusanya maoni tu ya kuyafikisha kwa aliyemtuma sio kuanza kuamua maoni yawe vipi.

- Eti unaposema sisi wananchi unawaongelea wananchi gani waliokupa dhamana ya kuwaongelea? Sema wewe unataka Serikali tatu sio sisi

Le Mutuz
ninapata wasiwasi kama nyie ndiyo vijana wa CCM ambao chama chenu kimewaamini kwamba mnaweza kukivusha kwenye vuguvungu hili la mabadiliko.
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz
Wabunge wa sisiem wametumia uwingi wao kupitisha sheria kandamizi kwa upatikanaji wa katiba inayoshirikisha maoni ya wananchi wengi ambao ni zaidi ya milioni 30 ambao si wafuasi wa vyama vya siasa. Sasa Mh. Warioba anatetea mawazo ya wananchi juu ya katiba wanayoitaka yasivurugwe na wanasiasa. Katiba ni zaidi ya siasa zenu. mkipuuza hoja za nguvu za wananchi kwa kutumia nafasi ya kuwa na wabunge wengi ambao wamezibwa midomo na chama kutetea maslahi ya wapigakura wao mtaitumbukiza nchi mahali pabaya. Kuhusu KATIBA YA NCHI naomba Mh. Rais atumie nafasi yake kama mkuu wa nchi kutosaini sheria inayolalamikiwa na wananchi.
 
- tunaishi kwa Sheria sio kanuni, Sheria ipo wazi Warioba hana mamalaka ya kuwaamulia wananchi Katiba, ila anayo mamalaka ya kukusanya maoni yao na kuyaandika chini, Warioba hana mamlaka yoyote kikattiba ya kuwaambia eti Viongozi wa Saisa wakae chini kujadili tena Rasimu, Rasimu imeshaenda Bungeni imepitishwa na Wabunge wa Chadema na CCM, sasa inasubiri saini ya Rais iwe Muswaada na kujadiliwa na Wabunge,

- Labda nikukumbushe historia kidogo, kule USA ni Republicans ndio walioamua kupunguza mafao ya Marais wao kwa sababu ya wingi wao bungeni, na ni wao ndio walioamua kupunguza malipo ya welfare ya wananchi wao bila kujali uchache wa Democrats bungeni kwa sababu Sheria inasema ni majority ndio wenye uamuzi wa mwisho wa marekebisho ya sheria, CCM ndio wenye mamlaka ya mwisho kisheria ya jamhuri kuamua katiba mpya iweje sio Warioba na Chadema.

Le Mutuz

Wapi alipowaamulia wananchi?
Hivi umeelewa alichoongea warioba,hiv nyie ma ccm mna matatizo gani?
 
- Hatuwezi kuongelea Rasimu wakati tayari imeshakuwa muswaada, alichosema Bulembo ni sawa sawa kwamba Warioba hakuteuliwa kuwaamulia wananchi maoni ya katiba na wala hakuambiwa kuwaelemisha maana katiba, alichotakiwa ni kukusanya tu maoni yao, Warioba kama mwananchi wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kuhusu katiba lakini hawezi kuyatoa akiwa ndani ya tume ni mpaka ajiuzulu kwanza, ndicho alichoambiwa na Bulembo na hakuna cha ajabu hapo wala utata.

- Narudia tena Warioba, ajiuzulu sasa kazi yake ya kamati ili awe Raia huru kama wengine wote ndio atoe maoni yake kuhusu KAtiba, hatuwezi kujadili Rasimu sasa maana tayari Rasimu ipo Bungeni inasubiri saini ya Rais twende kwa mbele.

Le Mutuz

Rasimu ni nn na Mswada ni nn?
Tuwekee hapa kazi za tume ya warioba.
Nani aliyeiteua ccm kuwaamulia wajumbe wa mabaraza ya katiba chakusema tena wakisoma?
Bulembo amechemsha badala ya kujadili hoja anajadili watu.
warioba na wenzake hawawezi kujiuzulu kwa matakwa yako bali wakipenda kwa matakwa yao au mpaka wamalize kazi waliyotumwa na watz.

Maccm mmeona Kiza kinene mbele ndio woga wenu.
Le Mutuz acha siasa za majitaka kwenye maswala ya kitaifa.
 
Kumbe hicho kichwa kimejaa kamasi badala ya ubongo! Nani kakueleza kuwa Rasimu ya Katiba = Muswada wa mabadiliko ya Katiba?

Foolish!!

- ha! ha! la msingi ni marekebisho ya katiba mpya na si Warioba wala Chadema wenye nguvu nayo ila CCM, sheria ipo wazi sana!! ila tu umenivunja mbavu na matusi yako ya kizamani sana!! ha! ha1

LE Mutuz
 
Rasimu ni nn na Mswada ni nn?
Tuwekee hapa kazi za tume ya warioba.
Nani aliyeiteua ccm kuwaamulia wajumbe wa mabaraza ya katiba chakusema tena wakisoma?
Bulembo amechemsha badala ya kujadili hoja anajadili watu.
warioba na wenzake hawawezi kujiuzulu kwa matakwa yako bali wakipenda kwa matakwa yao au mpaka wamalize kazi waliyotumwa na watz.

Maccm mmeona Kiza kinene mbele ndio woga wenu.
Le Mutuz acha siasa za majitaka kwenye maswala ya kitaifa.

- Haibadili anything, iwe Rasimu au Katiba wala Muswaada, the ishu ni kwamba Warioba hawezi kutuamulia wananchi wote lazima tukubali Serikali tatu, nasema hivi hapana!!

Le Mutuz
 
Wabunge wa sisiem wametumia uwingi wao kupitisha sheria kandamizi kwa upatikanaji wa katiba inayoshirikisha maoni ya wananchi wengi ambao ni zaidi ya milioni 30 ambao si wafuasi wa vyama vya siasa. Sasa Mh. Warioba anatetea mawazo ya wananchi juu ya katiba wanayoitaka yasivurugwe na wanasiasa. Katiba ni zaidi ya siasa zenu. mkipuuza hoja za nguvu za wananchi kwa kutumia nafasi ya kuwa na wabunge wengi ambao wamezibwa midomo na chama kutetea maslahi ya wapigakura wao mtaitumbukiza nchi mahali pabaya. Kuhusu KATIBA YA NCHI naomba Mh. Rais atumie nafasi yake kama mkuu wa nchi kutosaini sheria inayolalamikiwa na wananchi.

- Chadema haiwakilishi mawazo ya wananchi wengi ni CCM ndio inawakilisha mawazo ya wananchi wengi kwa sababu kwanza ni Chama tawala, na kina WAbunge 280 Chadema mna wabunge 46 tu, Warioba anawakilisha mawazo yake tu wala sio ya tume yake maana wajumbe wa tume wengi wanasema tofauti na anavyosema, pole sana kaka!!

LE Mutuz
 
Back
Top Bottom