Nani alimpa uchungaji Msigwa? Kwa nidhamu mbovu anayoionyesha bungen!

Mbona mama lwakatare ujawahi kuoji?Then what?kwani wewe matendo yako yanafanana na dini yako?

Sasa nimeelewa kwanini nchi hii masikini, watu hawajibu maswali wanatoka nje ya mada, kumbuka aliyemkanya msigwa sio mimi ni naibu spika
 
Me sielewi namna wana CCM wanavyo define baadhi ya terms, hivi kutetea haki za wanyonge na kusema ukweli ni utovu wa nidhanu?
 
Naweza kuelewa kwa nini wabunge wa CHADEMA wanakuwa wakali maana wingi wa CCM unatumika kuwanyanya sasa na mara nyingi ukimnyanyasa mtu mwisho ata-retaliate. Hata hivyo ningependa kuona Mchungaji Msigwa akipunguza rabsha kidogo, avute pumzi, ni mzuri sana kwenye kujenga hoja. Pia Wenje, atulie kidogo
Nafurahi kama wachache mnaanza kufunguka macho juu ya jambo hili> Nakuunga mkono kabisa kwamba wabunge wa CHADEMA ni wazuri wa kujenga hoja lakini munkari inawazidi. Sasa kwa mfano yale tuliyotegemea kutoka kwa Mnyika hatutayasikia tena kwa sasa na kwa uzito wake na unajua kila hoja ina uzito kwa muda na mahali husika. Wapunguze munkari hoja za msingi wanazo, watanzania wanazikubali haoja zao, maguvu na jazba za nini? Unajua kukubalika kwa hoja si lazima zikubzlike na bunge bali zikubalike na wananchi kwa kuwa wao ndio walioliweka bunge. Hivyo wanapoharibu hoja zao kwa sababu ya jazba zinazosababishwa na jambo lolote wanawakosea wananchi waliowatuma kupeleka hizo hoja na uamuzi unatolewa na waliowaweka madarakani. Tusilipuke tu, tuwe na mawazo ya kuwasaidia wabunge hawa ili wafanye kazi yao vizuri ili tuweze kufanikiwa.
 
Sasa nimeelewa kwanini nchi hii masikini, watu hawajibu maswali wanatoka nje ya mada, kumbuka aliyemkanya msigwa sio mimi ni naibu spika

Wewe Naona unalako jambo!Hivi Umasikini uwa nchi hii unaletwa na watu kutojibu maswali?Duh!If that is the case basi we have along way to go!
 
Infact hakuwa na ubavu wa kupata ubunge kule Iringa. Kilichotokea ni kwamba alipata kura za chuki baada ya CCM kumteua Mama Mbega ambaye hakuwa chaguo la wana CCM wa Iringa. Chaguo lao lilikuwa Mwakalebela ambaye alipata nafasi ya kwanza kwenye kura za maoni. Kama akiendelea hivi...sijui....!!!!

Mwisho wa siku wana Iringa ndo waamuzi wa mwisho. Huenda by that time Msigwa hakufahamika kama Mwakalebela, ila kwa sasa wananchi wamemkubali Msigwa. Na ndo maana nasema, too late, usimpigie kura mwaka 2015.
 
Teh!..teh!..teh!..Ndugu kumbe na wewe umeliona hilo? Udokta wa JK aliupewa kwa kuficha aibu kwa sababu 1:Alialikwa kwenda kutoa vyeti kwa madokta waliohitimu elimu ya juu na sifa ya mtoa vyeti ni lazima awe dokta, kwahiyo kuficha aibu wakambandika udokta wa kwenda kutolea vyeti kwa wasomi wetu, 2: Kampeni za 2010 alijikuta anagombea na dokta na profesa baada ya kuona hivyo akapachikwa jina Dk.Kikwete yaani ufisadi hadi kwenye elimu.
 
Tume ya katiba ni vema kuwa unajifunza haraka sana, naomba pia nikwambie kwa sasa hatuihitaji nidhamu kabisa, haya sio maneno yangu pekee, ni kuungana na Nyerere Mwl, aliposema TZ inahitaji rais kama mwendawazimu hivi kama unakumbaka ndo alimanisha ambaye nidhamu yake itakuwa kama inatia shaka hivi; that was a way back in 19'90s.

Kwa sasa ndo zaidi kabisa, ni kama kunaajali inayomhusu mama mkwe wako, ukawa wa kwanza kufika kwenye ajali hakuna aibu wala adabu inahitajika hapa, ni kumshika popote na kumtoa kwenye gari, ukimfikisha hospitali utamvua nguo zote ili apate huduma ya daktari, imeshamtokea kaka yangu, aliyepata ajali misungwi na wakwanza kufika alikuwa mamakwe wake live, vile haice ilikuwa na watu wengi, baada ya kuokolewa na kupelekwa bugando mamamkwe alifanya kila kitu ikiwa ni pamoja na kumvua nguo zote ili apelekwe theatre haraka. LENGO NI KUOKOA MAISHA KAMA ILIVYO KWA TZ ya sasa.

Kisa hicho ni kama TZ ilipo kisiasa na uchumi, hakuna aibu wala eti adabu. Lazima kutumbua jipo mbele ya kila mtu, ni kama kufa hakuna aibu wala adabu, unafia popote.

Ki ukweli wanaohitaji nidhamu ni CCM, after 50+ of gross failure would you insist that you do the same job/work while you are disciplined??? no way, kuna waTZ wengi any simple brained cadre would surrender the country to another fellow party. I repeat surrender.
 
Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?

Mungu ndie aliyemtoa Msigwa kua mchungaji na ndio huyo huyo aliye mtoa baba yako kuwa baba yako.
 
watu wa Kihesa fungukeni maana ninyi ndio mmekuwa nae mnafahamu vizuri mh Msigwa
 
Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?

Mchungaji Msingwa ni mbunge jasiri asiyependa kunyanyaswa cku zote mtu jasiri huonekana mbaya mbele ya watu waoga,watu tupo nyuma yako Mchungaji Msigwa usiogope hao waoga wa ndiyo wa kila kitu, wanauliza nani kampta uchungaji mbona hawaulizi nani kampa udoctor.
 
Back
Top Bottom