AG amemdhalilisha Halima Mdee bungeni

AG amemdhalilisha Halima Mdee bungeni

Na werema anapopewa cheo na kikwete asante anayompa nini ni? Huyu hana hata hadhi ya kuwa ag, kilaza wa ccm
 
“Unajua kule kwetu mwanaume akisimama na kuzungumza wanaume wanasikiliza, kinamama au wasichana wanafunga midomo..lakini sasa mimi ninapozungumza ndugu yangu Mdee unafunua mdomo sijui nikuweke kwenye kundi gani la ‘Lady au Gentlemen,” alisema AG Werema.

Nadhani jinsia ya mzungumzji nayo inapaswa kuhojiwa
 
Ndivyo ambavyo huanza kupanda matatizo yao kwa reference zao hizo.....sasa hivi wanaanza kuhusisha tabia za watu na makabila...halafu likisanuka na moto wa ukabila kushika kasi wataanza kuhangaika kutafuta wa kumsingizia uasisi wa ukabila, kama ilivyo sasa kwenye udini.
 
ndo hapo utakapojua Viongozi hawa waliochaguliwa na Kikwete ni wa ajabu sana mi nashindwa kuelewa ndo vipanga aliowaona wa kumsaidia au alitaka mambulula ili akifanya mambo yake akose wa kumchallennge... kiruuu mambo ya Prime Fuel hayo...
 
Jamani mimi nakataa tena nakataa wakurya hawko hivyo wala wakurya hawashikwi makalio kwetu ni mwiko kwa mwanaume kushikwa makalio
 
AG ni kichefuchefu.
Anajiita'moduli operandi' wa mfumo kandamizi wa kale. Analeta mambo ya umura mjengoni.
 
Kila mtu akianza mambo ya sisi kabila letu ni hivi hatutafika, kwani haramu kwenye kabila lenu yaweza kuwa halali kwenye kabila letu vile vile halali kwenye kabila letu yaweza kuwa haramu kwenye kabila lenu. Kuongea wakati mtu mwingine anaongea awe mkubwa au mdogo awe na cheo au asiwe nacho awe mwanamke au awe mwanaume haifai, kwani huondoa usikivu. Hii hutokea pale mzungumzaji anayeongea kutosikika vizuri au kuzungumza kitu tofauti na matarajio ya watu au aliyezungumza kabla kukatishwa kabla ya kumaliza maelezo yake hivyo mzungumzaji aliyekatishwa kuendeleza maelezo ili angalau walioko jirani waelewe ulichomaanisha au ulichotaka kuzungumza hasa pale akihisi kutopata muda mwingine wa kujadili au kueleza jambo hilo.Na mtu kuongea wakati mtu mwingine anaongea ni jambo la kupitiwa tu ambalo karibu watu wengi hilo kama ni kosa tumewahi kulifanya wala isichukuliwe kwamba ni utovu wa nidhamu, ndiyo maana Halima hakuhamaki alipoambiwa hivyo, alicheka tu kwani alijua amepitiwa tu.
Cha msingi; kila mtu ajaribu kuzuia hisia zake hasa unapokuwa unaongea na watu kwani hakuna asiye na hasira.Jaribuni kutumia maneno yasiyo makali lakini ujumbe ufike.Mfano mwanasheria angesema" Halima nasubiri umalize kuzungumza ili niendelee kuongea" unadhani Halima asingenyamaza!
 
Mdee anhitaji ndoa atatulia tuliii chezea mikurupio na vibao wewe
 
Ndivyo ambavyo huanza kupanda matatizo yao kwa reference zao hizo.....sasa hivi wanaanza kuhusisha tabia za watu na makabila...halafu likisanuka na moto wa ukabila kushika kasi wataanza kuhangaika kutafuta wa kumsingizia uasisi wa ukabila, kama ilivyo sasa kwenye udini.

Siku zote wanayofanya ccm hawafikirii baadae itakuwa je, bali akili zao zinafikiri na kutekeleza papo kwa papo kama kuku
 
Huyu jamaa kichwa boksi kinoma yaani. Mi hata simuelewi mkurya gani kilaza kama huyu

Ukilaza wake ni upi? hebu fafanua sio unapayuka tu hapa. au unataka wewe uteuliwe kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali? shame on you!
 
Back
Top Bottom