Chadema wanakuwa double standard polisi wanapo wauwa wafuasi wa vyama vingine

Chadema hawana majibu katika hili, ukweli hubaki kuwa ukweli hata ufanye nini haufutiki.
 
Katuni.jpg
 
Wanabodi,

Tanzania ni nchi yetu sote na itajengwa na sisi wenyewe na itabomolewa na sisi wenyewe, Inasikitisha sana la polisi linapotumia nguvu kuuwa raia wanaofanya maandamo kwa amani kwa kuwapiga risasi za moto.

Itakumbukwa maandamano yalifanyika janauri 27, 2001 yalikabiliwa na polisi na kusababisha vifo na majeruhi. Hadi sasa idadi ya vifo inayotajwa na serikali ni watu 34, lakini kuna madai kuwa waliokufa ni zaidi yao cha kushangaza polisi walipo wauwa hao waandamaji wa Pemba, Chadema walikuwa upande wa Jeshi la Polisi na serikali na kudai waandamaji hao walikuwa wanataka kuatalisha amani ya nchi.

Lakini polisi wanapofanya mauaji kwa wafuasi wa Chadema, kule Arusha walikufa watu wawili, Kule Morogoro alikufa mtu mmoja na Iringa alikufa muandishi wa habari, hawa ndio wanaonekana raia muhimu ambao hawakutakiwa kuuwa lakini waandamaji wa pemba walitakiwa kuuwa..

Mbona hujaweka references, nani alitoa tamko la CHADEMA?
 
Chadema hawana majibu katika hili, ukweli hubaki kuwa ukweli hata ufanye nini haufutiki.

kwa wa baguzi kama wewe nikuongeze cha kusema...katika dialects za wachaga.Tafrisi yake inahama kati ya "Cha/kya/sha/kya dema .cha ghema" nimegoma/amegoma na Kimelima(kuchiba kwa jembe) au tuwaite "caterpillar".

Nadhani utajua ni kwanini ile task CUF walishindwa CDM wameweza kam vile caterpillar inavyokata kifusi.Katika misimamo wakishagoma wamegoma,patachimbika, na wakiambu chimbua wanachimbua kama katapillar.

Hizo ni coinsidence ambazo waswahili wanaziita bahati.Ila ni bahati zimkutazo muwajibikaji.Kwani kila kitu sahii hulengana nacho kwa muda sahihi.
 
Mkuu Lyimo,

Nadhani hunijui vizuri unaweza kunipa ushahidi wowote Chadema walichukuwa hatua gani baada ya hayo mauaji hao sababu waliokufa walikuwa wapemba.
Litz, toka 2001 mpaka sasa ni miaka zaidi ya kumi. so many changes, Chadema ya miaka 10 sio ya leo kadhalika na CUF ya muda huo sio ya leo. CUF waliokuwa wapinzania sasa wanaongoza z'bar. Utalinganishaje na Chadema? Halafu hapa wanaoua watu ni polisi tena wanawaua raia kwa kuwavisha magwanda ya vyama na wakishakufa wanawavua magwanda na kusema huyu hakuwa chadema ila muuza magazeti na mwingine huyu hakuwa chadema ila mwandishi wa habari. Nategemea mtu wa aina yako Litz utasaidie kuelimisha jamii na sio uzi wako huu utafikiri mmeshirikiana na Tendwa kuuandika
 
Back
Top Bottom