Recent content by mayname

  1. mayname

    Nimeoa na ninaishi na mke mwenye VVU kwa miaka 7

    Kama maajabu fulani iv,binadamu katika kizazi cha nyoka kula pipi na ganda almost 7years.... Mwingine angeshakimbia kitambo hata ndoa isingefungwa. HONGERA SANA.
  2. mayname

    Watu wa mabondeni tunateseka, msaada tafadhali

    Tumechoka kusikia wahanga wa mafuriko,ondoken kazi zenyewe zinazowaweka mjini hamna,nyumba mlalamike,,sehem za biashara mkitozwa ushuru mnakimbia kimbia kukwepe ushuru kwa kisingizio mitaji yenu midogo.RUDINI VIJIJIN MJINI SHULE.
  3. mayname

    Habari zenu nahitaji mwanamke wa kuoa sasa, haijalishi umri wake

    Bora hata usijibu comments,yaan naona unazidi tu kuharibu.
  4. mayname

    Kubadilishana kituo cha kazi

    Kwa staili hii sidhan km utafanikwa,kwa ushaur piga deal na watu wa halmashaur unayotaka kuhamia upate nafas,ikipatikana nafas sbb ya kuhama hua hazikosekani.
  5. mayname

    Sina Hamu Ya Tendo La Ndoa.

    Umri wako tadadhali,naweza kukushaur jambo
  6. mayname

    Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

    Umri wako bado sana,soma,sali. Mpaka ukafikie hatua ya kuoa sidhan km utakosa wa kufanana na ww kitabia mkikaa mnasikilizana
  7. mayname

    Napenda sana kula mayai lakini sinenepi!

    Ridhika,nafsi ikitulia aaaah utajinenepea,lkn km kila siku roho juu,hata ule nn...
  8. mayname

    Wadada wa JF humu kwanini hamtaki kuonana na mimi?

    Au unachat na wanaume wenzio,humu watu wana id kibao,wengine wanadiriki hata act kama wao ni me/ke kuwa makini. Si bora ivo hakutokea je mamen wangekugeuzia kibao ungerudi hata humu? Ila polee...
  9. mayname

    Nani rais mzigo kati ya awamu zote 5 tangu uhuru?

    Uraisi,ni taasisi na wala si mtu binafsi km tunavyodhani.Jakaya alikuwa muazimiaji mzur ila watekelezaji wake wakamuangusha nae akawa na huruma kupita kiasi.Magufuli nae mfuatiliaji lkn alionao sidhan km jahaz litafika salama km ser zake alivokua akizinadi?Baraza tu kashinikizwa kuweka hata...
  10. mayname

    Mtoto mchanga mafuta yanamkataa

    Km una mda wakutosha nyumbani tengeneza mafuta ya nazi mwenyewe.Nunua nazi hata ya tatu kubwa zikune kisha chemsha na moto mdogo mdogo usitie maj mafuta yatatoka chuja weka kwenye chupa uwe unampaka akioga asubuhi na jion,sabuni muoshee ya kawaida,hakumw ulazima wa kumpaka poda sbb zingune...
  11. mayname

    UDOM mbona kama hakuna uongozi wa wanafunzi

    Unazungumzia nn sasa iv mbona kuna mabadiliko,2008 naona ungeacha chuo.
  12. mayname

    Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

    Sasa iv unajiona mjanja. Dhambi hiyo itakutafuna mpumbavu ww.. Angekua dada yako anafanyiwa iv
  13. mayname

    Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka

    BAKWATA ni kama mwamvuli tu... Watizame nyuma ya pazia.
  14. mayname

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hi,kuna kaka yangu elimu msingi,anahitaji kubadilishana kituo cha kazi,yupo UKEREWE MWANZA,ABADILISHANE KUJA MWANZA NYAMAGANA/ILEMELA/MISUNGWI.
Back
Top Bottom