Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,810
- 9,518
Hodi!
Jamani kama kichwa cha habari kinavyosema kula mayai ya kienyeji kwa siku karibia tray ila bado sinenepi!
Je nafeli wapi jamani maana kila nikila yananikataa, je kuna hatari gani kiafya ntaipata? vipi nitumie njia ipi mbadala ya kuremove kimbaumbau?
Haya nakaribisha madokta na wasio madokta jukwaani.