Sina Hamu Ya Tendo La Ndoa.

Sina Hamu Ya Tendo La Ndoa.

Mkuu Kwa Hii Riwaya Yako, Kuna Kitu Kinaendelea Si Bure

mkuu kwanza samahani kwa jina nililokuita kule mahali fulani... Ni kweli kuna kitu kinaendelea nimempata Shemeji Yako lakini nasumbuliwa na hasira na kukosa hamu ya tendo la ndoa.. Unaweza saidia katika hili
 
Akikolezwa vizuri... BOT ataisoma namba bila shuruti. Hapana chezeya pawa ya gegedo nakuambia

Sio kwa wadada wa siku hizi nakuambia, hua nasikia kwenye story zetu za hapa na pale tukiwa wenyewe, mbele yenu hawawezi sema maana mtawaona wanapenda hela, ikibidi sana mwenye gegedo atakua mchepuko ila BOT atakua na sauti siku zote
 
mkuu kwanza samahani kwa jina nililokuita kule mahali fulani... Ni kweli kuna kitu kinaendelea nimempata Shemeji Yako lakini nasumbuliwa na hasira na kukosa hamu ya tendo la ndoa.. Unaweza saidia katika hili

Mkuu Jitahidi Kupata Mtoto Ambaye Unamu Understimate Hilo Tu, Nashukuru Kwa Kulifuta Jina Lile
 
Now that I understand I feel bad.....
Pole ibra87
 
Last edited by a moderator:
Now that I understand I feel bad.....
Pole ibra87

nashukuru Brenda lakini kama unauelewa kiasi juu ya hili naomba nieleze kwasababu nimechoka na nahitaji kuwa na mtu sahihi
 
Last edited by a moderator:
kwanza unatakiwa upate msichana ambaye anatambua kuwa hasira zako mara kwa mara kujibu vibaya ni kwa sababu ya stress, hivyo hata ukimmwambia tuachane cjui unajibu hovyo achukulie kama wewe ni mgonjwa, ukimchunia yeye anapiga tuu sms anatuma, hajali umemwambia humtaki hayo mapendo yatakufanya baadae uone yeye ni wathamani kwako na utapata hamu sana.

ila yataka uvumilivu kumsaidia mwanaume kama wewe
 
yataka uvumilivu kumsaidia mwanaume kama Mimi!! Kivipi mrembo
 
awe tayar kuvumilia hayo mahasira yako nakukuaamehe, maana nna uhakija utakuwa mwepesi wakusema ' tuachane' akutulize kisaikolojia vaada ya mda utakuwa poa.
 
nilishawahi kuwa na mabinti wawili katika muda tofauti na kila mmoja aliahidi kulibeba hilo lakini Mambo Yalipowazidi Waliamua kuondoka. Kuna kipindi najisikiaga Huruma Juu Ya kile ninachowasema lakini sitilii manani
 
Back
Top Bottom