Recent content by Mawinyi Yeye

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awataja Majaji wa Kikwete wasio na Sifa (Kazi ndio inaanza)

    Huu ni udhaifu ambao sisi kama watanzania hatupaswi kuu vumilia. Haya ndio matokeo ya kuwa na majaji wanao fanya kazizao kwakufuata maagizo ya walio waweka madarakani au kwaajili ya kukidhi matakwa ya mtu fulani na wala sio namna ambavyo sheria inaelekeza!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili mb. Lekule Laiza ameiweka uchi serikali yake inayoongozwa na CCM

    Huyu bwana yeye kaamua tu kuweka wazi lakini hivi ndivyo vitimbi vilivyo kithiri katika majimbo ya uchaguzi 2010 eg, ILEMELA namengine mengi tu!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mikutano Muleba - Heche aliyoyaacha Bukoba moto waiwakia CCM

    Kamavijana, nilazima tuunganishe nguvuzetu katika kuhakikisha tunatoa elimu kwa umma iliwapate kuelewa nizipi ambazo ni hakizao na nikwa namnagani CCM wamekuwa wakiwahujumu hakizao hasa pale wanapo wanyima elimu ya uraia nahivyo kupelekea wananchi kushindwa kujua masuala ya msingi katika jamii...
  4. M

    JamiiForums Tanzania JK ashusha panga: Filikunjombe, Lembeli, Mkono, Bashe, Kingwangalla, Premji, Diallo watoswa

    Amakweli "kamba ya kuloweka haichagui maji machafu"! kwa upofu huu wakitendaji CCM haiwezi kuwa na viongozi wenye kujali maslahi ya wanyonge na taifa kwaujumla! Kwakuwa haiwezekani watu walio onekana kuwa na ushawishi mkubwa kwa wananchi kwakutetea maslahi yawanyonge na taifa ndio waenguliwe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

    Watambue kuwa wanaweza kuuwa chama (CHADEMA) wana weza kuuwa watu, lakini kamwe hawawezi kuuwa mawazo ya kimapinduzi yaliyoko katika akiliza Watanzania hivisasa!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na movement for change (m4c-chadema)

    Kama ilivyo elezwa na mjumbe aliye tangulia hapo juu zitto yuko kimasomo ilikupata elimu katika sualazima la uchimbaji wa mafuta na gas.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Wakuu Wapya wa Wilaya

    Kwampango huo wakuuu wa wilaya nao ni bomu/janga lingine tunalo lisubiri lili puke wakati wowote!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chadema yatikisa ngara wanachama 2000 wajiunga

    Pamoja makamanda endeleeni kutujuza ikiwezekana tuwekeeni na picha kabisa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali chini ya ulinzi mauaji ya M/kti Arumeru.

    Nape nikama bendera inayo fuata upepo hana lolote alijualo yeye kazi yake ni kuropoka tu! Nina wasiwasi halmashauri ya kichwa chake haifanyikazi vizuri!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Wamebana wamebana hatimae wameachia!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chupuchupu Chinjachinja ya CCM Arusha

    Nashindwa kukiafiki ulicho kizungumza kwa kuwa daraji II/relini napa fahamu vizuri sana hembu weka kwanza wazi ilikuwa ni majira ya saa ngapi?. Kwani ninavyo fahamu mimi kabla na baada ya kuvuka hilo daraja kuna nyumba kibao ziko hapo na watu wana kuwepo nje mpaka mida ya saa tano na vilevil...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe: wabunge wa CCM waoga wanajipendekeza kwa chama badala kwa wananchi

    Jamaa anaonekana kuwachokoza CCM kwakuweka maovu yao wazi kwakuwa anauhakika hata wakimtimua atajiunga na CHADEMA na watampokea na ataendelea kukubalika zaidi kwa wananchi kuliko alivyo hivi sasa huko CCM. Zaidi sana ameshasoma nyakati kuwa chamakimepoteza mvuto kwa wananchi hivyo anatafuta...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    Ware jee historia ya Sauth Africa wataona kwamba Makaburu walipo amua kumkamata Nelsoni Mandela na kumuweka kizuizini katika gereza la Roben island ndokwanza waliamsha hisia za watu wa S.africa na kupelekea nchi kuto tawalika jambo lililo pelekea uchumi wa Makaburu kule S.Africa kushuka kuto...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Uganda wamfanyia huyu mama kitendo cha kihuni!

    Kitendo cha askari wa Uganda walicho mfanyia mwana mama huyo ni kitendo cha kinyama kabisa na hakifai kuvumiliwa na binadamu yeyote! Naungana na akina mama walio hamua kuandamana nusu utupu ili kuonesha kukerwa na kitendo alichofanyiwa mwana mama mwenzao.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa kujaza wino laserjet p 1566

    Piga namba hii 0716665846/0753454287 GILBAT
Back
Top Bottom