Zitto na movement for change (m4c-chadema)

Zitto alikuwa USA na sasa yuko Netherlands anahangaikia mambo ya Oil and Gas Master plan ili tusije lizwa kama ilivyo kwenye madini ya dhahabu.
Ameenda pick best practises nasi tuzitumie

thats great...this is Zitto we know!
 
Kama ilivyo elezwa na mjumbe aliye tangulia hapo juu zitto yuko kimasomo ilikupata elimu katika sualazima la uchimbaji wa mafuta na gas.
 
huyu jamaa vipi chadema walisha acha kula kwenye sinia moja muda mrefu yaani wana jisevia kilamtu na sahani yake hapa na maanisha majukumu wanagawana sasa usipo muona zitto jua kaenda kufanya mjukumu mengine.si ccm wasubiliane wa bembelezane wale pamoja ndo hapo na milafi inajitokeza a.k.a gamba.zitto kaenda tafuta chakula ww subili akiludi
 
M4C Manyara haijaenda bado tena ukome kusema uongo alienda kule kwa mwaliko Gekule wakati akipita kuelekea kwenye kesi yake.

Zitto ni jembe....popote pale...ni rais ajaye wa bongo kama katiba mpya itaondoa kigezo cha kuwa na miaka 40
 
Back
Top Bottom