Filikunjombe: wabunge wa CCM waoga wanajipendekeza kwa chama badala kwa wananchi

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source Mtanzania

Mh mbunge Filikunjombe kawachana wabunge wa CCM na kuwaita waoga na wanafiki kwa kuogopa chama zaidi kuliko wananchi walio watuma bungeni.

Hayo yamejiri baada ya wabunge hao kuwa waoga kutia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu pinda na kukaa kuzungumzia mambo hayo chini chini.

Mbaya zaidi wamekuwa wabunge wa kujipendekeza kwa chama na viongozi wake na kuwatupa wananchi wao.

My take

Sishangai ndo maana hata JK kashindwa kuvunja baraza hadi apate idhini ya chama
 
Huyu mlima viazi kuna siku alimanusura apigwe na wabunge wa Chadema kisa kuwa aambia wanapinga mno!!!!!!

Sasa aombe msamaha live kwa makamanda, la sivyo bado ntamwona mnafiki pia....!!!! atoke basi CCM tuje tujenge Kikosi cha maana!
 
Huyu jamaa nimeanza kumkubali sana

Endelea kumkubali kwakuwa safari yake ya kuhamia cdm imeanza siku ile aliyoweka siignature kwenye karatasi ya zitto. uchaguzi ujao magamba watamshibuda tu. kama hawatasema ana uraia wa botswana na hajaukana watasema utotoni aliugua degedege hivyo hafai kumbea. ndio hapo ss atakapohamia cdm
 
Jamaa anaonekana kuwachokoza CCM kwakuweka maovu yao wazi kwakuwa anauhakika hata wakimtimua atajiunga na CHADEMA na watampokea na ataendelea kukubalika zaidi kwa wananchi kuliko alivyo hivi sasa huko CCM.
Zaidi sana ameshasoma nyakati kuwa chamakimepoteza mvuto kwa wananchi hivyo anatafuta mazingira ya kukiacha chamachake cha Magamba.
 
source mtanzania

mh mbunge filikunjombe kawachana wabunge wa ccm na kuwaita waoga na wanafiki kwa kuogopa chama zaidi kuliko wananchi walio watuma bungeni.

Hayo yamejiri baada ya wabunge hao kuwa waoga kutia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu pinda na kukaa kuzungumzia mambo hayo chini chini.

Mbaya zaidi wamekuwa wabunge wa kujipendekeza kwa chama na viongozi wake na kuwatupa wananchi wao.

My take

sishangai ndo maana hata jk kashindwa kuvunja baraza hadi apate idhini ya chama

ujumbe huu umfikie mbunge wetu wa kigamboni mh kingwendulile, kwa hili ni wazi kabisa umetuaibisha pia umetusaliti tulokupa kura,
umeamua kuwaunga mkono mafisadi wanaotuletea maisha magumu watanzania na kukataa kusaini waraka wa kumg'oa waziri mkuu kwa kushindwa kuwajibika na kuamua kuunga mkono ccm na kutupuuza sisi,
na kama uko dhati kutuudumia wananchi wa kigamboni tunaomba majibu kwa nini hukusaini na kwanini tusikuchukulie kama mbunge mfuata mkumbo
mwisho tunaomba munguuko mbeleni atupe mbunge jasiri aliye tayari kuwatumikia wananchi na si anayejipendekeza kwa mafisadi na pia mchumia tumbo
 
Huyu anasumbuliwa na ULANZI; anajitafutia misifa ambayo itamtokea puani. Kama anataka kutoka CCM atuachie chama chetu kiusalama, hana sababu ya kuwadhalilisha wabunge wetu
 
Ukweli siku zote unauma , mijitu kama nyie ndio mnaoharibu chama chetu, mkuu wewe unastahili kuvuliwa gamba ili kusafisha chama
 
sijawahi kumkubali mbunge yeyote wa magamba

Acha chuki zako, hivi katika bunge hili la tisa kuna wabunge mahiri kama wa CCM?. Hata usipowakubali wewe, watanzania tunawakubali sana.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Huyu anasumbuliwa na ULANZI; anajitafutia misifa ambayo itamtokea puani. Kama anataka kutoka CCM atuachie chama chetu kiusalama, hana sababu ya kuwadhalilisha wabunge wetu
Akili yako iko makalioni kwako, Deo ni mbunge wa watu na sio CCM ya mafisadi.
 
Ukweli siku zote unauma , mijitu kama nyie ndio mnaoharibu chama chetu, mkuu wewe unastahili kuvuliwa gamba ili kusafisha chama
Aisee yaani wewe una roho ngumu kweli kweli, una maslahi yepi hasa humo chichiemu mpaka unakuwa na ushujaa huu eti chama chetu!!.....wenye hicho chama wenyewe wanaishi Masaki na majumbani mwao hakuna vibendera vya CCM wala vijiwe vya wakereketwa maana ni uchafu.
 
Dosama na Wana JF,
Huyu Ndugu Filikunjombe kasoma wakati aka nyakati na ameshapima Upepo. Hana matumaini tena na Chama chake na kwenye vikao vyao vya ndani ameona hakuna way out, jahazi ndilo hilo lazama.
Iwapo amejaribu kuonyesha njia, tatizo Samaki mmoja akioza, basi kapu aka wote wameoza.
Nawakilisha

Source Mtanzania

Mh mbunge Filikunjombe kawachana wabunge wa CCM na kuwaita waoga na wanafiki kwa kuogopa chama zaidi kuliko wananchi walio watuma bungeni.

Hayo yamejiri baada ya wabunge hao kuwa waoga kutia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu pinda na kukaa kuzungumzia mambo hayo chini chini.

Mbaya zaidi wamekuwa wabunge wa kujipendekeza kwa chama na viongozi wake na kuwatupa wananchi wao.

My take

Sishangai ndo maana hata JK kashindwa kuvunja baraza hadi apate idhini ya chama
 
Huyu anasumbuliwa na ULANZI; anajitafutia misifa ambayo itamtokea puani. Kama anataka kutoka CCM atuachie chama chetu kiusalama, hana sababu ya kuwadhalilisha wabunge wetu
Hajadhalilishwa mtu hapa, sema lingine.
 
Huyu anasumbuliwa na ULANZI; anajitafutia misifa ambayo itamtokea puani. Kama anataka kutoka CCM atuachie chama chetu kiusalama, hana sababu ya kuwadhalilisha wabunge wetu

Ulanzi ni kinywaji kizuri sana na sidhani kama kina mdhala.Deo sidhani kama amewadhalilisha hao wabunge wenu isipokuwa kawaambia ukweli kwani nijukumu lake kusema ukweli.kwani kweli mara zote hutuweka huru.mwacheni aseme ukweli siku moja utawakomboa msipende kujidanganya someni alama za nyakati msiishi
 
Back
Top Bottom