Polisi wa Uganda wamfanyia huyu mama kitendo cha kihuni!


Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
147
Points
135
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 147 135

Uganda Ingrid Turinawe 'sexual abuse' protesters strip

Six protesters were arrested and later detained

A group of women have stripped to their bras in protest at the alleged sexual assault by Ugandan police of a high-profile female opposition politician.

Footage shows an officer squeezing the breast of Ingrid Turinawe of the Forum for Democratic Change (FDC) during her arrest ahead of a rally last week.

Deputy police chief Andrew Kaweesa has apologised, saying the incident will be investigated.

Uganda's opposition says police regularly harass them during protests.

Since President Yoweri Museveni's controversial 2011 re-election, there has been a wave of opposition demonstrations - many of which have ended in violence and arrests.

But correspondents say Ugandans are outraged by the arrest on Friday of Ms Turinawe, who is the head of the Women's League of the FDC led by Kizza Besigye.

Ugandan television footage clearly shows that, as several officers tried to pull her out of her vehicle, another grabbed and squeezed her breast - and she is heard shouting out in pain.

The BBC's Siraj Kalyango in the capital, Kampala, says a group of about 15 women marched through the town to the main police station waving placards, including one that read "How would you feel if we squeezed your balls?"

Six protesters were arrested after they refused to put their tops back on - but they were released two hours later without charge.
"We wanted to ask the police if they are there to do their jobs or there to pinch breasts," event organiser Barbara Allimadi told the AFP news agency.

BBC News - Uganda Ingrid Turinawe 'sexual abuse' protesters strip
 
Rose1980

Rose1980

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
5,701
Likes
33
Points
0
Rose1980

Rose1980

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
5,701 33 0
ehhhh..angeshikwa kwa bibi nao wangevua vyup vyao?
 
M

mzeelapa

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
1,050
Likes
83
Points
145
M

mzeelapa

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
1,050 83 145
Rose1980, sikutegemea kuona Comment aina hii toka kwako kama mwanamke, imagine ungekuwa wewe unafanyiwa hivi na polisi kwa kosa lo lote lile. Msiba wa mwenzio.....linaweza kukutokea kama hili siku moja. I hope you will enjoy it!! Bye.
 
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
20,030
Likes
2,579
Points
280
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
20,030 2,579 280
wangeandamana kikawaida tu bila kuonyesha maungo yao....ila polisi wanauonevu sana,hell to them
 
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
20,030
Likes
2,579
Points
280
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
20,030 2,579 280
Rose1980, sikutegemea kuona Comment aina hii toka kwako kama mwanamke, imagine ungekuwa wewe unafanyiwa hivi na polisi kwa kosa lo lote lile. Msiba wa mwenzio.....linaweza kukutokea kama hili siku moja. I hope you will enjoy it!! Bye.
kwani hakuna njia nyingine ya heshima?
 
MwanaFalsafa1

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
5,566
Likes
39
Points
135
MwanaFalsafa1

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
5,566 39 135
That was wrong. Huyo polisi afunguliwe mashtaka pumbavu kabisa. If anyone touched my mother, sister or woman like that I would shoot them.
 
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
147
Points
135
Ab-Titchaz

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
14,702 147 135
Police under fire over Ingrid arrestTelevision image grabs showing the brutal arrest of FDC Women League leader Ingrid Turinawe on Friday. COURTESY OF NTV


Uganda's police was last evening asked to apologise as it came under a barrage of criticism from women and human rights defenders scandalised by the latest assault of a female opposition activist by its officers.

Forum for Democratic Change Women's League leader Ingrid Turinawe had her right breast repeatedly grabbed and fondled by what looked a policeman on Friday.

She was assaulted on her way to a protest rally in Nansana, outside Kampala.

Yesterday, the Kampala Metropolitan Police Spokesperson, Mr Ibin Ssenkumbi, insisted that policewomen carried out the arrest.

"But all the same, there have been concerns over the arresting exercise. The police are investigating the mistakes committed during the incident and whoever will be found in error will be disciplined," he said in a telephone interview.

Women and rights activists described the treatment of Ms Turinawe as brutal, cruel and condemned the Force for violence against women.

Ms Betty Amongi, the chairperson of the Uganda Women Parliamentary Association, said the police officers targeted Ms Turinawe to humiliate her.
http://www.monitor.co.ug/News/National/-/688334/1391926/-/avjydsz/-/index.html
 
H

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Messages
3,584
Likes
42
Points
0
H

Hofstede

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2007
3,584 42 0
This is beyond the word of police. Ingekuwa nchi zinazojali huyo polisi aliyefanya upuuzi huo saa hizi angekuwa ameisha shitakiwa kwa sex abuse na wote waliokuwa nae kwenye arrest exercise wangesimamishwa kazi. Imagine mumewe na huyu dada anajisikiaje kwa kitendo hiki?.

Yaani hii ni big Scandal ambayo ingeondoka na Mkuu wa polisi nchi ingekuwa nchi zinazojali demokrasia. Ila kwa Africa this is normal, watu kuvutwa korodani na polisi au kulazimishwa kukalia misumari bila ya kuwa na nguo ni sehemu ya utendaji wa polisi wa afrika. What a shame!
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,402
Likes
50,127
Points
280
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,402 50,127 280
The police officer's conduct was beyond the pale.
 
Straddler

Straddler

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
722
Likes
15
Points
35
Straddler

Straddler

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
722 15 35
Uhuni sote tumeshapitia.

Huo sio "uhuni" . Ni ushenzi na unyama.
 
M

Mawinyi Yeye

Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
28
Likes
0
Points
0
M

Mawinyi Yeye

Member
Joined Apr 20, 2012
28 0 0
Kitendo cha askari wa Uganda walicho mfanyia mwana mama huyo ni kitendo cha kinyama kabisa na hakifai kuvumiliwa na binadamu yeyote!
Naungana na akina mama walio hamua kuandamana nusu utupu ili kuonesha kukerwa na kitendo alichofanyiwa mwana mama mwenzao.
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,882
Likes
68
Points
135
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,882 68 135
This is beyond the word of police. Ingekuwa nchi zinazojali huyo polisi aliyefanya upuuzi huo saa hizi angekuwa ameisha shitakiwa kwa sex abuse na wote waliokuwa nae kwenye arrest exercise wangesimamishwa kazi. Imagine mumewe na huyu dada anajisikiaje kwa kitendo hiki?.

Yaani hii ni big Scandal ambayo ingeondoka na Mkuu wa polisi nchi ingekuwa nchi zinazojali demokrasia. Ila kwa Africa this is normal, watu kuvutwa korodani na polisi au kulazimishwa kukalia misumari bila ya kuwa na nguo ni sehemu ya utendaji wa polisi wa afrika. What a shame!
May be not shame, would like to touch those boobs too

Mkuu unajua yanayotokea hapa Tanzania? ukitaka kujua wape wanawake uhuru wa kusema yanayowakuta, unaweza kusema afadhari Uganda alikoshikwa matiti mwanamke huyo. Hapa bongo wanabakwa, si wanawake tu hata wanaume na wengine wanauawa. Hapa kweli Polisi pia wanaua, kama unakumbukumbu nzuri unaweza kueleza kilichowakuta kina Lunkombe pale Sinza, mpaka leo hakuna kilichofanyika, serikali iko kimya tu kwa kuwa waliouawa ni maskini. Kimsingi naona afadhari kushikwa matiti kuliko kupigwa risasi au kubakwa.
 
R

RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Messages
6,828
Likes
306
Points
180
R

RR

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2007
6,828 306 180
sio hata kushika....jamaa aliminya kabisa.....
Wamruhusu huyo mama alipize kwa ku-squeeze them his balls:A S angry:
 
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
11,669
Likes
3,502
Points
280
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
11,669 3,502 280
Huu unyanyasaji hauvumiliki kabisa.
Sijajua kwa nini serikali za Kiafrika zinakuwa rude sana dhidi ya wapinzani. Hivi Museveni ataishije maisha ya ustaafu uraiani baada ya kuachia madaraka (iwapo itatokea) kwa jinsi anavyowanyanyasa Besigye na wafuasi wake?
 
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
5,747
Likes
1,245
Points
280
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
5,747 1,245 280
wangeandamana kikawaida tu bila kuonyesha maungo yao....ila polisi wanauonevu sana,hell to them
hujawahi kusikia kina maathari walichojoaga nguo zote wakati wa kutetea uhuru park? Wanawake wanahitaji kuwa jasiri ili waweze kufanikiwa sio kusubiri kutumia uchi wao kama rushwa ndo wabebwe kama watanzania wapiga kelele za kila siku. Shame on tanzanian women! Hata vitu vilivyo ovious vinawadhalilisha wanasubiri wanaume ndo wawasaidie na jioni wakawaliwaze kwa k zao.
 
Manda

Manda

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
2,075
Likes
37
Points
145
Manda

Manda

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
2,075 37 145
sio hata kushika....jamaa aliminya kabisa.....
Wamruhusu huyo mama alipize kwa ku-squeeze them his balls:A S angry:
That is UG kaka, hilo ni trela tu, i have been there, polisi wa kenya na uganda wanaogopwa kuliko ww RR unavoogopa ngoma, ila ipo siku haya yataisha tu, sad indeed!
 

Forum statistics

Threads 1,272,349
Members 489,924
Posts 30,448,232