Recent content by mavado

  1. mavado

    JamiiForums Tanzania What sort of freedom will we have in the afterlife?

    Moja ya ulizo zuri kabisa... Inafikirisha sana, Hizo dini Kuna namuna zimefanya hatujiulizi maswali muhimu namna hii
  2. mavado

    JamiiForums Tanzania Tshirts kali sana

    Kwa ufupi Wabongo wengi hatuwezi nunua OG, Tshet moja tuu Ya polo pale street soul, ni almost 100k. Wakati hapo Tandamti na sikukuu kwa hio Mia narudi na Kiroba cha tisheti nan jinzi za mchina
  3. mavado

    JamiiForums Tanzania Tshirts kali sana

    Sad words r'e truth
  4. mavado

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Sijaelewa hata nukta, embu fanya kunielewesha mkuu, hivo pwani wamezoea ushoga au sio, hata hivo ndio Kuna chimbuko kubwa sana na wa Jumbe wake
  5. mavado

    JamiiForums Tanzania Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

    Sema hivii Kukosa uchumi mzuri na watoto utateseka sana uzeeni na sio kukosa mke, Zama hii ndoa hazina Mfano mzuri hata kidogo hasa kwa sisi Wanaume
  6. mavado

    JamiiForums Tanzania What's App

    Iko na shida kwangu tuu au kote
  7. mavado

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wakweli hapa !

    Ushasikia watu wanajiua sababu ya stress, belive me ni wale wasio kunywa kilaji Kilaji inasaidia Sana kusavaivu msongo na maumivu
  8. mavado

    JamiiForums Tanzania Sijamwelewa huyu CEO wa ATCL

    #wia on ze raiti traki
  9. mavado

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa njombe kuwa na ndevu

    Ila wanawake wengi wanaotumia madawa ya kujikoboa ngozi Wana Hilo tatizo
  10. mavado

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi watu wa mikoa ya Kusini tuliwakosea nini nchi hii?

    Inaonekana umekuwa na usingizi wa man'gamu
  11. mavado

    JamiiForums Tanzania Nakaribia kubaki skeleton, nifanyeje kurudisha mwili wangu?

    Embu kula mbuzi katoliki na ndizi 3 (ya kuchoma iko poa zaidi) na bia deile, then after 2 month ukuje hapa
  12. mavado

    JamiiForums Tanzania Mbinu zatumiwa na mabalozi wa Marekani kuwaunga mkono wapenzi wa jinsia moja

    Taifa teule ndo wanaongoza kulana vijambioo
  13. mavado

    JamiiForums Tanzania Mtaani kuna pesa nyingi sana inayotafuta wahitaji

    Utakuwa mwanafunzi na upo likizo
  14. mavado

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop aina ya toshiba yenye ubora mkubwa

    Ukiuza zaidi ya 150k nitag Watu tunanunua core i5 kwa 400k
Back
Top Bottom