Nauza laptop aina ya toshiba yenye ubora mkubwa

lamar69

Member
Jan 13, 2018
42
20
TYPE:TOSHIBA RAM:4GB STORAGE:500GB PROCESSOR:1.73GHz PRICE: 600,000 WITH BATTERY(battery 2.5hrs) 350,000 BILA BATTERYMachine iko vizuri kabisa nakupa na risiti bado iko kwenye warranty
LOCATION:DAR ES SALAAM
CONTACTS:0752156818
.
IMG-20190615-WA0009.jpeg
 
Aisee wewe ? iyo pc kama ulinunu dukani bas ulipigwa . Thamani ya iyo pc ni 410,000/= brand new inayotoka kwenye box. Mbona unatangaza biashara kishamba
 
Nimepata amani baada ya kugundua hakuna currency yoyote kwenye Price yako.

Huwenda ni pesa ya Zimbabwe.
 
TYPE:TOSHIBA RAM:4GB STORAGE:500GB PROCESSOR:1.73GHz PRICE: 600,000 WITH BATTERY(battery 2.5hrs) 350,000 BILA BATTERYMachine iko vizuri kabisa nakupa na risiti bado iko kwenye warranty
LOCATION:DAR ES SALAAM
CONTACTS:0752156818
.View attachment 1128544
Ela ya somalia labda. Ya bongo sio zaidi ya tsh 200,000/=
 
Wote mlio comment juu sijawaita kwenye post yangu,kama haikufai kacha zako,siitaji mahubili wala maelezo kwenye issue zangu, anaehitaji atapiga cm ,naona humu bangi ndo zinaongea
 
Tusimlaumu sana pengine hajui bei za laptop! Ila alitakiwa aulize kwanza kabla ya kuweka bei za pc za kisasa zenye core i5 na etc, hizo pc ni za kizamani sana first generation tena duo inawezekana yeye aliingizwa king na watoto wa mjini, ila kwa anayejua pc hata 150k hawezi kutoa, kuna software nyingi tu atashindwa kurun, labda ampate asiyejua specs za pc ndio atamuzia kwa iyo bei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom