Sijamwelewa huyu CEO wa ATCL

Mtuturas

JF-Expert Member
Apr 18, 2017
458
859
Nimemuona huyu CEO kwenye taarifa ya habari akilalamika kwamba eti abiria wanaotaka kutumia usafiri wa ndege wamekuwa wengi hivyo kuathiri na kusababisha kusitishwa na kucheleweshewa ratiba ya Safari za ndege.

Aliyemwelewa naomba anisaidie manake idadi ya siti kwenye ndege inajulikana wakishakata wanaotosheleza si chombo kinaondoka any how ndege Zina ratiba zake hata ikiwa haijaja inatakiwa iondoke kufuatana na ratiba.

Eti analalamika abiria wamekuwa wengi hivyo kusababisha kusitishwa kwa Safari.

Ana mpango wa kuongeza bodi hayo madege au ndio kazi imemshinda anaongea mapumba na mashudu yasiyoeleweka.

Biashara ya ndege ni ngumu tumeingizwa choo Cha kike na jiwe.

Itabidi jiwe azitapike hizo hela zetu alizotumia kienyeji kununulia ndege.
Aiingii akiline eti abiria kuongezeka kusababishe kusitisha Safari.

Kama Kuna anayeelewa vizuri / au alimwelewa yule Komba anieleweshe alikuwa anamaanisha Nini kwenye ongezeko la abiria na kusitishwa kwa Safari za ndege
 
Mpinga kristo
 
#wia on ze raiti traki
Yaani ATCL Sasa hivi wao ndio kama sole service provider wa usafiri wa anga.Yaani Raisi Magufuli wakishindwa kufanya biashara fukuza wote hadi messenger Na mfagiaji.Ajiri watu wapya.Baraza la wafanyakazi na chama cha wafanyakazi ATCL kama menejimenti hawawezi endesha shirika wakomalieni vinginevyo kibarua kitaota majani kwenu wote.Msilete mzaha na ujinga kwenye customer care na good services to customers.Mtaondoka wrote na mafao mtalipwa baada ya miaka 20 Toka Sasa .Mimi Niko tayari kufungua kesi ya uhujumu uchumi dhidi yenu ambayo mkishafukuzwa itachukua miaka mingi kuamuliwa ili mradi nihakikishe hampati hata shilingi Moja ya mafao mkiafukuzwa Kazi
 
Yaani ATCL Sasa hivi wao ndio kama sole service provider wa usafiri wa anga.Yaani Raisi Magufuli wakishindwa kufanya biashara fukuza wote hadi messenger Na mfagiaji.Ajiri watu wapya.Baraza la wafanyakazi na chama cha wafanyakazi ATCL kama menejimenti hawawezi endesha shirika wakomalieni vinginevyo kibarua kitaota majani kwenu wote.Msilete mzaha na ujinga kwenye customer care na good services to customers.Mtaondoka wrote na mafao mtalipwa baada ya miaka 20 Toka Sasa .Mimi Niko tayari kufungua kesi ya uhujumu uchumi dhidi yenu ambayo mkishafukuzwa itachukua miaka mingi kuamuliwa ili mradi nihakikishe hampati hata shilingi Moja ya mafao
.
IMG-20190527-WA0001.jpeg
 
Tena tuna bahati ndege zetu hata mbuzi na nyama yake ni sehemu ya wateja...
 
Ni kawaida ndege kubeba mizigo wewe..Viti vinaondolewa kwenye reli unapakia mizigo.Wewe mshamba unadhani Viti vya ndege ni sawa na Viti vya mabasi ya daladala vilivyochomelewa welding!!!.Ndege waweza Toa Viti vyote dakika tu ndege ikabeba mizigo ya Aina yeyote.Ushamba mizigo.Wewe mshamba tu
 
So ndege ya abiria inaweza kuwa ya mizigo?
 
Ndio hata ndege za umoja wa mataifa hufanya role zote na mashirika yote ya ndege duniani hufanya role zote za abiria na mizigo wakipata mizigo ya uhakika Viti vinaondolewa mizigo inapakiwa wakimaliza Viti vinarudishwa abiria wanapanda maisha yanaendelea.
 
Nimemuona huyu CEO kwenye taarifa ya habari akilalamika kwamba eti abiria wanaotaka kutumia usafiri wa ndege wamekuwa wengi hivyo kuathiri na kusababisha kusitishwa na kucheleweshewa ratiba ya Safari za ndege.

Aliyemwelewa naomba anisaidie manake idadi ya siti kwenye ndege inajulikana wakishakata wanaotosheleza si chombo kinaondoka any how ndege Zina ratiba zake hata ikiwa haijaja inatakiwa iondoke kufuatana na ratiba.

Eti analalamika abiria wamekuwa wengi hivyo kusababisha kusitishwa kwa Safari.

Ana mpango wa kuongeza bodi hayo madege au ndio kazi imemshinda anaongea mapumba na mashudu yasiyoeleweka.

Biashara ya ndege ni ngumu tumeingizwa choo Cha kike na jiwe.

Itabidi jiwe azitapike hizo hela zetu alizotumia kienyeji kununulia ndege.
Aiingii akiline eti abiria kuongezeka kusababishe kusitisha Safari.

Kama Kuna anayeelewa vizuri / au alimwelewa yule Komba anieleweshe alikuwa anamaanisha Nini kwenye ongezeko la abiria na kusitishwa kwa Safari za ndege
Wewe ndio hueleweki kabisa

Umetapiga lugha chafu kabisa
 
Hivi ndege za mizigo nazo Zina tv, wifi, na washrooms ngapi?
Ndio zinabeba na wenye mizigo ukipakia mzigo kwenye ndege uliyolipia kubeba ruksa na wewe kupanda ndani ya hiyo ndege tena unakaa business class.Economy ndio inakuwepo mizigo yako.
 
Nimemuona huyu CEO kwenye taarifa ya habari akilalamika kwamba eti abiria wanaotaka kutumia usafiri wa ndege wamekuwa wengi hivyo kuathiri na kusababisha kusitishwa na kucheleweshewa ratiba ya Safari za ndege.

Aliyemwelewa naomba anisaidie manake idadi ya siti kwenye ndege inajulikana wakishakata wanaotosheleza si chombo kinaondoka any how ndege Zina ratiba zake hata ikiwa haijaja inatakiwa iondoke kufuatana na ratiba.

Eti analalamika abiria wamekuwa wengi hivyo kusababisha kusitishwa kwa Safari.

Ana mpango wa kuongeza bodi hayo madege au ndio kazi imemshinda anaongea mapumba na mashudu yasiyoeleweka.

Biashara ya ndege ni ngumu tumeingizwa choo Cha kike na jiwe.

Itabidi jiwe azitapike hizo hela zetu alizotumia kienyeji kununulia ndege.
Aiingii akiline eti abiria kuongezeka kusababishe kusitisha Safari.

Kama Kuna anayeelewa vizuri / au alimwelewa yule Komba anieleweshe alikuwa anamaanisha Nini kwenye ongezeko la abiria na kusitishwa kwa Safari za ndege
Walete watu wa nje wenye nia nzuri na nchi
 
Wameondoa ushindani sasa wanadai abiria ni wengi.

Ni kituko cha karne. Wingi wa abiria unasababisha vipi ndege kutofuata ratiba? Wingi wa abiria ni blessing au curse kwa shirika?

Safari hazieleweki kiasi kwamba kwa route hiyo hiyo alipepanda bus anawahi kufika. Only in Tanzania.
Kununua madege bila akili ya uendeshaji no kazi bure.
Tumerudi kwenye Air Takeoff Confirmation.
 
Back
Top Bottom