What sort of freedom will we have in the afterlife?

What sort of freedom will we have in the afterlife?

Namshakende

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
860
Reaction score
2,256
Many religions teach life after death: after our life in the world, we have another life in heaven.

This is a doctrine common to most religions in the world.

I find it hard to understand how we will be in heaven: with our freedom to choose what we want!

If we continue to be free, how can we be sure that evil will not happen again in heaven?
 
Maisha ya binadamu ni hapa duniani tu,kabla ya kuja duniani binadamu hakuwa na maisha yeyote na baada ya kufa hakuna maisha vile vile.hzi hadithi za heaven na hell ni za kunyoosha watu hapa duniani tu, ni mifumo ya kutawala akili za watu ili wafanye wanavyoelekezwa hapa duniani. Kama mtoto unapomwambia fanye kitu ntakupa zawadi, au ukikosea ntakupa adhabu
Upo uwezekano wa kuwa tunarudia rudia maisha hapa hapa, yaani ukifa unarudi tena hapa hapa na maisha mengine tofauti.
 
Uhuru utakuwa nao ila tambua utakuwa upo rohoni, na mwili ambao ni dhaifu hautakuwepo.

Hutosikia njaa, kiu, nyege, hamu ya bia

au chchote kile mzeee, ni mwendo wa sifa na kuabudu kwa mwenye enzi na enzi
 
Many religions teach life after death: after our life in the world, we have another life in heaven.

This is a doctrine common to most religions in the world.

I find it hard to understand how we will be in heaven: with our freedom to choose what we want!

If we continue to be free, how can we be sure that evil will not happen again in heaven?
Can you prove that there is such an afterlife at all?
 
Uhuru unapokonywa ukifa…mbinguni unakuwa roboti kama walivyo malaika
 
Back
Top Bottom