Tshirts kali sana

Tshirts kali sana

Adidas polo zipo !!!
Sema bei ni mkasi mfano hiyo hapo brand new plus shipping ni kama dola 99
Tra wakidai chao hiyo t shirt inaweza fika hadi laki nne
Kutoka wapi aisee,mi ni mdau wa Adidas kitambo sana.
Huku duniani sijawhi ona polo wala rangi nyekundu.
Labda pink track kwa wadada.
Nyeupe,blue,green baas u-v collar T-shirt
 
huwa nawaambiaga watu jezi moja ya adidas wanayovaa man utd ,kibongo bongo ukileta utawauzia wa masaki tu, kariakoo pale huuzi hata kdg
Ndio hapo unakuta mpiga debe kavaa balenciaga,mcheza show ana Gucci,Lv,Pierre Cardin.Polo Ralph Lauren
Ni sawa ila tabu inakuja pale we una Lv yenyewe kabisa,then unazikuta mtaani bongo za mchina 15k tu
 
Ndio hapo unakuta mpiga debe kavaa balenciaga,mcheza show ana Gucci,Lv,Pierre Cardin.Polo Ralph Lauren
Ni sawa ila tabu inakuja pale we una Lv yenyewe kabisa,then unazikuta mtaani bongo za mchina 15k tu
tena hizo ulizosema feki zimejaa, mie bland yangu jack & jones ili kukwepa hizo feki feki
 
Sio kutembelea maduka.
Nazivaa toka enzi ya Pele.
Hizi Polo mchina kapiga photocopy jina kawaletea hiyo,
kwanza angalia logo vizuri usikute kaweka Adibas
Najua kama hizo ni fake ila nilishangaa kuskia unasema kuwa Adidas hawana polo
 
Kwa ufupi Wabongo wengi hatuwezi nunua OG, Tshet moja tuu Ya polo pale street soul, ni almost 100k.
Wakati hapo Tandamti na sikukuu kwa hio Mia narudi na Kiroba cha tisheti nan jinzi za mchina
 
Back
Top Bottom