Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

Ubachela ngoma yake ni uzeeni!

Angekuwa tajiri 75 bado ana nguvu huyo, angeenda hata nchi za mbali kukandwa Kandwa mabega, mgongo na vibinti vya 20's years na ndugu wangejali kweli upweke wake, wengine wangehamia kwake na kujibatiza jina lake la mwisho wakilazimisha kuwa adupted wengine wangelazimisha ndoa na mambo kama hayo.
 
Kuna mtu pia kashuhudia bibi akiteseka na ubachela??? Au hii ngoma ni ya babu pekee?

(Nisifokewe nimetumia ubachela ili nieleweke)
Nimewaona wawili Ila kwa nje wana furaha na amani ndani ya moyo sijui

Ila kuteseka sijajua maake wako na sasampa kuna wafanyakazi ishu nadhani ukikosa na sasampa ndiyo balaa zaidi....
 
Kuna watu mnacomment mambo ya "Tafuta pesa hautateseka", mara "hayo yote sababu hana pesa".

Naomba niwaambie tu, uwe na pesa usiwe na pesa, ukizeeka ukiwa bachelor utateseka tu.

Binadamu hatujaumbiwa kuishi single, tumeumbiwa kuishi pair, mwanaume na mwanamke.

Na amini usiamini kuishi single hautakaa uwe na pesa, na ukiwa nazo utakufa mapema maana utakuwa hauna discipline!
 
Ni kweli mkuu ila uzee bila pesa na familia ndo mbaya zaidi. Ukiwa na pesa unaweza hata kununua familia. Ukaadupt watoto wawili au watatu ukalipa na mfanyakazi wa kuwahudumia wakakupa kampani.
 
Ukiwa na Hela huwezi kua bachelor au kukosa mtoto unless uwe umechagua kua bachelor..kwa umri wa miaka 75 anaweza kuoa hata binti wa miaka 25 apashe kitanda joto,mzee mtee hakujipanga..

Hata huyo mjukuu wake angetaka kuishi na babu kama babu angekua njema
 
Ni kweli mkuu ila uzee bila pesa na familia ndo mbaya zaidi. Ukiwa na pesa unaweza hata kununua familia. Ukaadupt watoto wawili au watatu ukalipa na mfanyakazi wa kuwahudumia wakakupa kampani.
Suala la pesa ni subjective mkuu.

Cha msingi wewe kuwa na familia, as long as hawalali njaa, kisha mengine muachie Mungu.
 
Kila nnapomwangalia babu ndugu yake babu mzaa baba anavyoteseka.maisha ya ubachela saa zingine yananiogofya mno. babu yangu ana miaka 75 saiv hana mke wala mtoto hata wakuzingiziwa.licha ya uzee huo hamna mtu anayempa kipaumbele. mara nyingi huwaanajutia mno wa kujidanganya na usela uliyomponza.saiv anafidia usela wake. jana nilifika hapo kumsalimu na kumpa vimaelekezo.neno aliloniuliza mjukuu wangu umeamuje. nikamuuliza nn babu?akajibu mwali.nikamweleza bado najitafuta mazingira bado.akanieleza ukisema hivyo kuoa n ngumu. akanijibu ndoa sio kujipanga ndoa ni maamuzi.chunga usije ukawa kama mm nlisema hivyo mda ukanipa.
Kwa kweli hapa mzee baba
Umenipiga spanner.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom