Recent content by matoA

  1. matoA

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Louisville sasa unaitwa Muhammad Ali International Airport kwa heshima yake

    Braza kwani kuna shida gani kama ungeamua kuandika kiswahili tu lugha ya kizalendo?, maana kiingereza ulichokiandika ni cha hovyo sana mkuu.
  2. matoA

    JamiiForums Tanzania Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

    acha ujinga wewe, fanya kazi upate kipato cha kukariri vitu vilivyokushinda
  3. matoA

    JamiiForums Tanzania Tottenham vs Liverpool (Who will win) ?

    Kacheze basi ww unayevutia tukuone
  4. matoA

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kuna mjinga mjinga mmoja humu ndani aliiita LIverpool eti vilaza ile mchana, sasa namwamboa hivi LIVERPOOL ndio mfalme wa Ulaya kwa sasa. I am so proud of u REDS
  5. matoA

    JamiiForums Tanzania Tottenham vs Liverpool (Who will win) ?

    Acha uzwazwa ww, Liverpool sio kilaza kama ndgu yako Man Utd, Barcelona , Porto, Bayern. Liverpool kqmpiga kila mtu unamwitaje kilaza we kiazi. Sema gemu ni ngumu sana leo ila Liverpool anadeserve kushinda, japo Spurs wameingia kiujanja ujanja hawakutegemea ila sio wa kuwa beza.
  6. matoA

    JamiiForums Tanzania Tottenham Hotspur atafungwaje na team yenye gundu Liverpool

    Liverpool atashinda 2-1 hiyo iko wazi. Ntakutafta dakika 88". We jitulize tu mkuu
  7. matoA

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Dah hii ni game ngumu sn kati ya game ninazoziogopa msimu huu, yaani moja haikai mbili aiendi . Ila namwombea sana Liverpool anipe weekend yenye furaha ya kula nyama nyingi na pilipili za kutosha. #ThisMeansMore
  8. matoA

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    mwenye link ya game ya arsenal vs chelsea plsee
  9. matoA

    JamiiForums Tanzania RC Hapi apewa siku saba kuwaomba radhi waandishi wa habari baada ya kuwataka wawe na vitambulisho vya wamachinga.

    Uongozi umewazidi mbio vijana wa dingi
  10. matoA

    JamiiForums Tanzania Cheti cha kidato cha 6 jina herufi kidogo limekosewa

    I meant Registrar, thank you for the correction.
  11. matoA

    JamiiForums Tanzania Cheti cha kidato cha 6 jina herufi kidogo limekosewa

    Nenda kwa wanasheria watakupa "deed poll of changes of names" ,ambayo utaapa majina unayotaka yawe then wataisaini , utaipeleka kwa kwa Kamishina wa Kusajili Majina , then hiyo deed poll itasainiwa na Commisioner na itakua relevant. SIMPLE
  12. matoA

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

    Aisee naungana nawewe Mbeya ni pahovyo sana nashngaaga sana cjui kwani watu wanapasifia , nmekaa Forest Mpya ya karibu na Esso , bdo ni pahovyo, Uzunguni pahovyo, Uswahilini Airport, Mama Joni, SAe, Ilomba, CCM, Soweto pote pamechoka yaani hapana tofauti na miji ya kawaida ambayo sio majiji...
  13. matoA

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mnyamaaaaaa
  14. matoA

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola kasi imeshuka sana

    ogopa sana njaa ikihamia kwene ubongo
  15. matoA

    JamiiForums Tanzania Mkwawa hakujipiga risasi kama wajerumani walivyotusimulia, bali aliliwa na simba..

    Sijawahi kukuona hata siku moja we jamaa kama ni mchambuzi wa kweli zaidi ya kukuonana mchumia tumbo tu. Umejidai kuchambua kiumakini sana historia ya Tanganyika kumbe ulikua unataka kutuuzia kijitabu chako tu. Brother unafeli wapiiiiiii
Back
Top Bottom