Kangi Lugola kasi imeshuka sana

Kangi Lugola kasi imeshuka sana

Hivi kangi uwezo wake wakupambanua mambo ukoje?
Huwa simuamini kabisa huyo mzee
yaani ukimuona tu kwa macho kabla hata hajatoa yale ma wito yake utagundua kbs jamaa ni kilaza fulani...siijui cv yake ila nashawisha kuamini kwamba itakuwa ni nyepesi mnoo!.
ktk mawaziri awamu ya 5 atakuwa anaongoza kwakuwa na shallow cv.
 
Na ni former police officer, unaweza ukapata taswira ndogo, ni jinsi gani kuna watu wa ajabu pande hizo.
 
Back
Top Bottom