Recent content by Massawe909

  1. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais wa TLS kwa umma juu ya mbinu za kupambana na ugonjwa wa COVID-19

    Naunga mkono waraka Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Update ya Corona April 2: wizara yatoa taarifa zaidi ya watu 500 wanafatiliwa wanaohisiwa kuwa na karibu na wagonjwa

    Naona wanajiandaa kutoa taarifa za wagonjwa wengi kwa mkupuo mmoja wana tuandaa kisaikolojoa..... Ee mungu tusaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Massawe909

    JamiiForums Tanzania CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Wameshaanza michezo yao usishangae membe akahamia chama pinzani Act wazalendo au Chadema..... Yakaja kutokea kama yake ya lowasa ccm inambinu kali sana inapofikia kipindi cha uchaguzi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la pingili za uti wa mgongo

    TUMBOO, Huna namba zake mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua simu yenye sifa hizi, je ni simu ipi itanifaa?

    Nunua noki 6.1plus bei 300+ Au xiaom redmi note 7 bei 300+ Hizo simu zote hapo ni mashine na hutajutia Zi search uone ubora wake Muda wangu hauruhusu kukuwekea hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nenda mtaa wa mchikichi vyote vina patikana kvyo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Massawe909

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na mke wa mtu yalivyonitesa

    Kwa mara ya kwanza nikatoa chozi kwa maumivu ya mapenzi,yaani najaribu kuiambia akiri wewe sio wako mwenyewe ndio karudi kwanza ulikuwa unafanya makosa mwenyewe akijua utakufa lakini wapi moyo hauelewi unauma tu. Ha ha ha ha ha haaaaaaa mshukuru mungu sana kufumuliwa marinda kulikuwa kuna...
  9. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mtoto kaibiwa Dar. Kama unamfahamu huyu mtoto wajulishe wazazi wake, yupo Nzega

    Daaaa wazazi tuwe makini sana na watoto wetu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Historia ya kweli ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda

    Mzungu kumdanganya mwafrika ni rahisi sana kama kumdanganyia mtoto pipi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba msaada wenu ushauri na tiba nateseka sana

    Umesha wahi kufanya nini katika kutaka kutatua tatizo lako tuanzie hapo kwanza...
  12. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Kwa wauzaji wa chupi za kike

    Ofisi zako zinapatikana wapi mkuu
  13. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nenda mtaa wa Shaurimoyo karibu na kituo cha Gerezani.
  14. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Mdogo wake Kanumba apooza ghafla

    Afungue Fundraiser page watu wamsaidie
  15. Massawe909

    JamiiForums Tanzania Harmonize (Konde Boy) usiipe kisogo hadhira iliyokutoa jalalani

    Mpe somo kijana akumbuke sikio halizidi kichwa
Back
Top Bottom