Update ya Corona April 2: wizara yatoa taarifa zaidi ya watu 500 wanafatiliwa wanaohisiwa kuwa na karibu na wagonjwa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1585881950553.jpg


Tujihadhari
 
Tahadhari muhimu sana. Serikali isisahau kujiandaa kisaikolojia kwa anguko la uchumi. Madhara yatakayosababishwa na kuanguka kwa uchumi yatakuwa makubwa sawa na ya vifo vitakavyosababishwa na COVID-19.

Serikali ingesiyisha malipo kwenye miradi ya maendeleo. Fedha zitunzwe kwa ajili ya dharura hasa kuagiza madawa na kusambaza vyakula itakapobidi.
 
Kama masihara vile mdogo mdogo tunaondoka hapa Duniani ,Ee mwenye Enzi Mungu tunusuru na Janga hili..

Watanzania wenzangu nna waomba muendelee kuzingatia tuliyo Shauriwa na Wataalam wa Afya kuepuka hili Gonjwa.

Baada ya Gonjwa hili kiuchumi tutakuwa na Hali mbaya sana ,wenye Mamlaka msijisahau kwani Njaa kali ni chimbuko la Uasi .
 
Naomba kueleweshwa, hao 'Contact under followup 532" wanafuatiliwaje? Na nani? Hawapo karantini.
 
Ww huko kwenu kipo!!!??
Kwani kinaonekana kwa macho? Activeness ya Covid 19 itathibitishwa na muda. Ikifika June tutakuwa tumepata picha kamili.
Kila nchi wagonjwa, na vifo vinaongezeka.
Tahadhari ni muhimu, muda wa kushukuru bado sana.
 
Back
Top Bottom