Recent content by mass64

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

    6
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni msambazaji wa bidhaa mbalimbali? Karibu tufanye biashara

    Tunazalisha na kuuza virgin coconut oil kwa jumla na rejareja kwa bei nafuu hadi Tsh 25,000 kwa lita. Virgin coconut oil ni mafuta mwari ya nazi ambayo hayajachemshwa wala kuchanganya na kemikali yoyote. Unaweza kutumia kunywa, kupikia, na for skin and hair care. Karibu DM, text or whatsupp...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Uzi upo very helpful
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

    Ukiwawahi msimu wa mavuno ambapo wakulima wameshauza mazao ndio biashara za aina hii zinaleta tija zaidi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Business parter kanikimbia/kayeyuka

    Binafsi mi changamoto yangu tuliyekubaliana ahudumie shamba ndie alitoweka bila kunipa taarifa, kwahiyo akaacha mazao na shamba peke yake.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tax Manager at Total Tanzania

    Thanks for information.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutengeneza mafuta ya kujaza ndevu

    Good presentation.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wazamiaji wa miaka ya 90

    Hahaha mkuu hongera.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona ngazi ya Familia

    Katika kujikinga na ugonjwa wa corona ngazi ya familia, Ni wajibu wetu sote kuzilinda familia zetu hasa kwa family member walio na umri mkubwa kuanzia miaka 60+, 7bu hawa ndio wapo katika risk zaidi ya kupata madhara makubwa endapo watapata maambukizi. haya ni mapendekezo katika level ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

    Kwa vyakula: unga wa sembe, ngano, mchele, tambi/spagheti, dagaa wakavu, maziwa ya unga, magimbi, maharage na kunde. Chochote katika hivyo unaweza kununua kwa wingi 7bu vinaweza kukaa zaidi ya mwezi bila kuharibika. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Great man. Zidisha uchamungu utazidi kufanikiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 45, nifanye biashara ipi kati ya hizi?

    Nimecheka sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

    Thanks for the information. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom