Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Mimi bwana kuna mchepuko niliunasa tukakubaliana kila kitu, nikamwambia sina mtu, niko single, siku ya kula mzigo hataki Lodge anataka twende home...nahis kuna kitu alikihisi kama nina mke ... Na kila ikifika saa 5 usiku lazima apige simu...!! Daah michepuko mingine bana!!
 
Ntamuabisha ukoo mzima na nitachukua vizibiti vyote ntajitahidi kufatilia na kuvipata then ntaenda kanisani kwa baba paroko ndoa ivunjwe. Kwa sababu ndoa itavunjika tuu ikiwa kuna uzinzi umefanyika. Shida ni kwamba huwa tunawaza watoto mara familia ila hatuwazi magonjwa,mateso kwa familia ikiwa huyo mchepuko atamchukua akili mazima huyo baba. Na itabaki kuwa aibu kwake maana itajulikana alikua na mke ila hakua mwaminifu.
Okay
 
Eti hawa ndio wa kristo na kila jpl wapo makanisani..ache kusali tu au mjiunge na Islam muoe mke zaidi ya mmoja..na sio umalaya tu mlioundekeza chini ya kivuli cha dini.

#MaendeleoHayanaChama
Kwani kuoa mke zaidi ya mmoja ndio kuacha zinaa?

Mbona masheikh ndio vinara wa uzinzi na ulawiti wa watoto wa madrasa?

Swala hapa sio wake wengi swala ni kujitambua

Uislam ni dini iliyohalalisha uzinzi Kwa njia ya mwamvuli wa kuoa wanawake wengi
 
Kwani kuoa mke zaidi ya mmoja ndio kuacha zinaa?

Mbona masheikh ndio vinara wa uzinzi na ulawiti wa watoto wa madrasa?

Swala hapa sio wake wengi swala ni kujitambua

Uislam ni dini iliyohalalisha uzinzi Kwa njia ya mwamvuli wa kuoa wanawake wengi
Wote humu wanajadili uzinzi tu..hakuna la maana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kabisa kwa hali hii mimi ni mkristo naunga mkono hoja kuliko kujifanya ww ni mkristo safi kumbe unafanya dhambi ya uzinzi nje. Mtu anajisifia eti ana michepuko 6. Yani navyojiheshimu hivi nakataa vishawishi kwa wanaume namtunzia mume wangu na afya yangu leo nimkute live au msg inayoonyesha wamefanya hiko kitendo kweli he will pay the price.
Kaplana na mimi nitakusaidia kupiga hiyo fisi
 
Hakuna njia ya Ku handle mchepuko iliyo permanent. May be unaweza kujificha kwa siku 2 tatu, but muda wowote siri inaweza kuwekwa wazi.

I had Mchepuko back in days, she worked as health officer in one of health center, mind you, she was single that time. Mwanzoni tulikubaliana kuhusu do and don't lakini as times elapse akaanza kufanya yale tuliyokatazana. Akaanza kunitumia meseji usiku, kunipigia simu. Mwisho wa siku ndoa ikaingia shibiri, hakuna kuongeleshana kwa nyumba, hakuna kula pamoja n.k

Baadaye nikampiga chini huyo binti na baadaye kuanza kudate na mchepuko mwingine, she was married to someone. Huyu hakuwa msumbufu hasa kwa kuwa alikuwa ana commitment na ndoa yake, so we enjoyed alot tunapopata nafasi. Changamoto yake she lived miles from me. Later we departed

Nilichojifunza hutaweza kuhandle maisha ya usiri na Mchepuko ambaye ni single kwa kuwa wengi huona vyema wakuharibie ndoa yako ili pengine uwaoe wao. Na Kama utataka falagha ya michepuko ni vyema awe mwenye commitement tayari.

Kingine muhimu hutakiwi kuwa na mchepuko unayeishi naye Wilaya moja huyo muda wowote anachomoa betri mwisho wa siku mnaanza kuingia kwenye migogoro na familia zetu.

Kumbuka almost masaa 8 hadi 10 kwa siku tunatumia tukiwa na Nyumba kubwa, hivyo ni muhimu nyumba hizi ziwe na amani kila siku.

Nawasilisha
 
Instagram mumy
Yani kuna mada huko za ma ex,wanawake wanafunguka kuhusu ndoa zao wanaume hawa walahi usijiumize kabisa kutaka kupambana na michepuko utajichosha
Wanawake mnalia ndoa zimewashinda si muachike ya Nini kukomaa na ndoa ambayo haikupi Amani
Mnataka kufurahisha jamii..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom