Recent content by mashomoro

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walioolewa na tabia ya kushikashika pete zao

    Anaishika shika pete labda kidole kinamwasha hua zikiingia sabuni zinawasha na wewe kwa muda huo unajuaje kama anashika shika pete au unamwangalia kama kavaa pete?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika

    Upo vizur sana du kweli aisee
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kununua pete ya ndoa

    Usiende weee mjini hapa chezea
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu kama umejaaliwa pesa hebu kula vitu vizuri bwana.

    We utakua mwanamke wewe halaf unajidai mwanaume hatuji ng'ooooooo mnataka kutuchuna kwa usawa huu.... vizur vina gharama zake walah
  5. M

    JamiiForums Tanzania Logistics and Transport Management Vs Procurement and Logistics Management.

    Hivi vyote vimo ndani ya suppy chain Management
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ya miaka tisa hawajapata mtoto, Mungu nusuru ndoa hii

    Jamani wasikate tamaa wamtumainie sana Mungu pia wasimame katika maombi. Nimeshuhudia ndoa kama 3 watu kama hao wakisali na kusimama na Mungu aliwafanikisha mtoto wa kiume. wanafanikiwa kabisa Mungu awape hitaji la Moyo wao
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Kawe wapewa zawadi na wananchi: lakini kijana Trafiki ni zaidi

    Hongera sana kijana pia yupo yule wa darajani nadhani afande Moses nae yupo makini mchapakazi kwa kweli wanajitahid saana wanastahili hongera zao kwa kazi nzuri san
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bata mzinga wanauzwa

    naitaji vifaranga wa siku moja nianze nao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya kari

    Na mimi pia nipo dar naitaji kama 30 kiongozi ila utajuaje mijogoo na mitetea?
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ooooh mwanamke chura..chura my foot

    Du [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani wanaume fueni nanii zenu za ndani, usafi muhimu

    Meseji sent.... delivered
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokojoa kitandani tu!!

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jf bwana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

    Hata bob marley aliimba vizuri haleluya God is great. Ila huu wa viuchi uchi mmmmmh
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ray C amuomba msamaha Zamaradi Mketema

    Kweli kabisa mkuu maisha yenyewe hatujui kesho hakuna kitu kizuri kama ndugu kuishi kwa amani na kupendana kueshimiana na kuombana msahaha pale tunapowakosea wengine. Hongera sana Ray C.
Back
Top Bottom