Njia panda ya Coca Cola Media mwambieni Mrembo mwanya aachie yote haya yataisha

Siwezi kuelewa maana sio mfatiliaji wa izo mambo.

Ila kwakweli nyie wanawake nyie mna laana. Yule Grace kamkimbia babu wa watu baada ya makabidhiano ya nchi kukwama
c13058ef244ae7b58bb2e0d762a1cccb.jpg

ohooo rudia tena kusoma uzi vizur unganisha dots mbona kibaby kenye mwanya kimeshajulikana hahahah..mapenz yanarun dunia.Mugabe altaka kuonga nchi kisa haya mapenzi lol.
 
Nimekupata sana mkuu
Mbabe wa town-anayekusanya hela kwenye daladala.
Mzee wa Dubai- mashine ya kuproduce unga
Kiongozi wa njiapanda ya coca cola media- mzee wa fursa
Mr VIP- Mzee wa nyumba nyeupe
Mrembo mwanya-anatangaza kipindi cha asubuh hapo njia panda ya coca cola media
Nadhani nimewasaidia hadi hapo
 
Mbunye haijawahi kumuacha mtu salama. Music Mwisho Saa 6, baada ya hapo police kazi kwao
kunawakati huwa nawaona wanaovaa magwanda kama wanatumiwa vibaya, hasa wakitumika kulipiza kisasi
 
Nimekupata sana mkuu
Mbabe wa town-anayekusanya hela kwenye daladala.
Mzee wa Dubai- mashine ya kuproduce unga
Kiongozi wa njiapanda ya coca cola media- mzee wa fursa
Mr VIP- Mzee wa nyumba nyeupe
Mrembo mwanya-anatangaza kipindi cha asubuh hapo njia panda ya coca cola media
Nadhani nimewasaidia hadi hapo
Bado nina mashaka na huyo mrembo mwenye mwanya?? Yaani yule ndio asababishe balaa lote hilo....!!!
 
Back
Top Bottom