encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 517
- 405
- Thread starter
- #21
Karibu sana NIT my course mateNimechaguliwa hyo course ya logistics&transport pale NIT naipenda sana kwenda kusomea hii ki2 no matter what, najua malengo nitafikia tu kwa sababu hatua yamafanikio yangu sasa naanza kuyaona kwa mbaali japo safari ni ndefu nachangamoto ni nyingi ninazokwenda kupambana nazo ila tutafika tu.kuna baba angu mdogo amenikandia sana aliposikia nimechagua NIT nikamwambia mimi siendi kusomea jina la chuo mm naenda kukamilisha kile nachokiitaji hata kama chuo ni chini ya mti.