Wanaume wenzangu kama umejaaliwa pesa hebu kula vitu vizuri bwana.

four eyes

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
904
1,400
Habari za mida wakaz wenzangu wa humu wakati tukiendelea kutafakari miaka miwili toka uchaguzi mkuu Kuna ka jambo flani kusema kwel huwa kananikereleta Sana mtimani.

Haka ka jambo si kengine bali ni ka tabia ka baadhi ya watu ambao wamejaaliwa pesa za kutosha kuwa na totoz za viwango hafifu.

Niaminivyo mm ukijaaliwa pesa maana yake ni kumiliki pia vitu vizuri ambavyo pesa Inaweza kununua,hii ni kuanzia nyumba nzuri,magar Mazur,nguo nzur,na totoz kali zenye kuendana na mpunga ulionao.

Mfano mzuri ni watu kama kina diamond,Hartman mbilinyi,mengi na hata ck alipokuwa bado anazo,Hao jamaa Wana pesa na wamebabua Sana vitoto vizuri vya mjini

Usiwe kama ruge pesa nyingi na umaarufu na amezungukwa na totoz kali ktk industry yake ya burudani anaenda kuwa na zama? Its insane kwakweli.

Kwahyo niwakumbushe tu nyie wenye pesa ndefu ebu kuleni vitu vizuri bwana sio wewe una pesa harafu mtoto unayechukua hata mission town tu WA kawaida anabeba au anae mkali zaidi yake.
 
Vitu kama hivi au sio

36bd015b5560dc5be9331bb3e1d45b02.jpg
 
Habar za mida wakaz wenzangu WA humu.
Wakati tukiendelea kutafakari miaka miwili toka uchaguz mkuu Kuna ka jambo flani kusema kwel huwa kananikereleta Sana mtimani.

Haka ka jambo si kengine Bali ni ka tabia ka baadhi ya watu ambao wamejaaliwa pesa za kutosha kuwa na totoz za viwango hafifu.

Niaminivyo mm ukijaaliwa pesa maana yake ni kumiliki pia vitu vizuri ambavyo pesa Inaweza kununua,hii ni kuanzia nyumba nzuri,magar Mazur,nguo nzur,na totoz kali zenye kuendana na mpunga ulionao.

Mfano mzuri ni watu kama kina diamond,Hartman mbilinyi,mengi na hata ck alipokuwa bado anazo,Hao jamaa Wana pesa na wamebabua Sana vitoto vizuri vya mjini

Usiwe kama ruge pesa nyingi na umaarufu na amezungukwa na totoz kali ktk industry yake ya burudani anaenda kuwa na zama? Its insane kwakweli.

Kwahyo niwakumbushe tu nyie wenye pesa ndefu ebu kuleni vitu vizuri bwana sio wewe una pesa harafu mtoto unayechukua hata mission town tu WA kawaida anabeba au anae mkali zaidi yake.
We utakua mwanamke wewe halaf unajidai mwanaume hatuji ng'ooooooo mnataka kutuchuna kwa usawa huu.... vizur vina gharama zake walah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom