Recent content by mashadoplantan

  1. M

    Dua maalum kwa watu wa mjini waliotangulia!

    nishasahau mnywaji yule atawapata hao hao wanywaje wenzie sie shughuli zetu hazifanywi baa
  2. M

    Dua maalum kwa watu wa mjini waliotangulia!

    Kwani sisco ni kiongozi wa kidini?
  3. M

    Maisha ya Egypt

    kumbe hichi kilikuwa ni kijembe?
  4. M

    Kwa hili nampongeza sana Mbunge wa Mafia (CCM), Abdulkarim Shah

    familia yake inahusika vipi hapa?
  5. M

    Kisiwa cha Mafia tushaamua, hatumtaki Bulji

    Wana Mafia kweli mmeamka kwanza mna access to internet japo inaonekana hamko wengi lakini wachache mliopo naona mnaitumia JF effectively kwa hili nawapa hongera sana
  6. M

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    umeleta tuhuma hapa JF, umeambiwa ulete uthibitisho umeshindwa sasa tatizo lako ni nini? kama huna cha kusema bora ungenyamaza tuu
  7. M

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Kaka unaua Limbani haonekani!
  8. M

    Kwa halii hii Mbunge Bulj ametudhalilisha wakazi wa Mafia

    Sasa endeleeni kumtetea huyo st 7 wenu
  9. M

    Way out for JK: National Infrastructure projects

    Topical inamaana hajauona huu mtego? mwanzisha mada hana lolote atakae taka kuchangia ajue kuwa atadaiwa data za ku back up arguments. Mwenyewe keshasema huu si mjadala wa vyama vya siasa so I dont expect much kwani topiki kama hizi si saizi ya intelligence za wana JF (wa siku hizi)
  10. M

    Ajali ya Meli: SMZ yakataa misaada ya VODACOM

    Tumepata taarifa kuwa Smz imekataa misaada ya Vodacom, na tunaambiwa ofisi za Vodacom znz ziko mashakani Inaonekana kampeni ya kuisusia Voda imeshika moto, Mahmoud Thabit Kombo ndiye anayetumiwa na Vodacom kujaribu kuwaombea msamaha huko serikalini. Vodacom wameahidi kutoa zaidi lakini taarifa...
  11. M

    David Jairo wa IKULU

    Blast from the past ilivyorudi kumsuta Mheshimiwa
  12. M

    Philemon Luhanjo wa Ikulu naye fisadi?

    mwaka huo huo ilisemwa ya JAIRO lakini hatukutaja kuskia nadhaini inatwa DAVID JAIRO WA IKULU the rest is history
  13. M

    Vazi la mh Mbowe leo bungeni limenifurahisha

    Nilianzisha thread na mapicha wenye kujua sijui wameipeleka wapi kisha wakaanzisha ya kwao utoto mtupu!
  14. M

    Vazi jipya la CHADEMA

    Naam sasa nchapata sababu ya kuanza kuwapenda CHADEMA. Naomb CCM msinisute kila mmoja anapenda chama na sababu zake haya ndio mambo tunayotaka sie....kilichobaki ni freeman kuftarisha tuu bas!
Back
Top Bottom