yaani umefikia hatua ya kuona bora yeye anayeiba kidogo kuliko wale walio iba sana? labda kama ni ndugu yako ila ki ukweli ni kwamba yeye ndio wa hovyo zaidi, jiulize ana muda gani tangu awe meya na kashaiba kiasi gani.mpk miaka mitano ikiisha atakua ameiba mara kumi zaidi ya wale waliopita ambao wlikaa muda mrefu zaidi. mwenzako ana tapatapa.