Way out for JK: National Infrastructure projects | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Way out for JK: National Infrastructure projects

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Nov 1, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  As it is he is viwed as a lame duck president. wakuuu wa wilaya wale wale, serikali imeajiri jeshi kubwa la ma civil servants, TRA haikusanyi kodi ipasavyo (kwa sababu hakuna umeme), hakuna accountability, hakuna transparency, wananchi hali zao bado ni ngumu, na serikali inaspend pesa nyingi kwenye makelele ya siasa badala ya kufanya kazi, investor confidence iko all time low (KINYESI KUNUKA AIRPORT DAR, URASIMU BRELA etc), bila kuuambia sahau kuwa serikali hii inaongoza kwa kupiga vita mambo ya TRANSPARENCY so hakuna web portal kutuambia what these guys have been up to....kuanzia WEBSITE YA IKULU to individual ministries and WEBSITE YA TAIFA yenye data na stats.


  Lakini there is a way out.

  I think infrastructure projects might be a way out.

  Watu watapata ajira

  TRA watapata kodi zao

  Itapunguza unemployment kwa kiasi kikubwa

  Sub contractors nao watanufaika

  Lakini tatizo liko pale pale...serikali haina pesa hata ya kutoa guarantee ya hii miradi mikubwa.

  Jamani huu si mjadala wa CCM vs CHADEMA bali ni wa kuangalia strategies za namna ya kujikwamua kwenye hiii hali

  Thoughts?
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  waambieni waliomuweka madarakani Jakaya wawakwamue.

  Watanzania waliamua, wao wakafanya walivyotaka.

  Leo TRA walitawanywa mchana kweupe kuvizia viduka vinavyouza mchele ati wanadai kodi.

  hii ni serekali au ni gagula?

  puuuuuuuuuuuuuf!!!
   
 3. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mjadala uliopo sasa ni ukombozi wa taifa letu na si vinginevyo. CDM haipo kuisaidia CCM kuongoza, ipo kuwaambia wananchi jinsi CCM ilivyoshindwa.

  Cha msingi sasa ni kuzungumza namna ya kuiondoa CCM madarakani ikiwezekana kabla ya 2015, kwani kuendelea kwake kuongoza nchi ni janga la kitaifa
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Vyombo vya habari tu...

  Kelele nyingi kwa vitu visivyo na maana..

  Serikali inaendesha projects za maana na maendeleo kuliko wakati wowote Tanzania...

  Ujenzi unaoendelea katika mikoa ya pembezoni ni ushahidi tosha..

  Kama unajishughulisha kuangalia kina Slaa, Lema na chadema huwezi ona chochote..maana hawa wameamua wasione chochote ..
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Wewe at the very best utakuwa mgonjwa wa akili! Kwa maana ni wewe na wenye mazingira kama yako pekee ndio wanaoshabikia mateso ya Watanzania walio wengi!

  Na uende ukawaambie waliokutuma.

   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ntajie intrastructure project kubwa yoyote inayoendelea mkoa wa Pwani, inacost how much na imeajiri watu wangapi na TRA wana estimate watakusanya how much toka kwa hao wanaofanya kazi
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Najua project kadhaa za mkoa wa pwani sina data za cost na number za waajiriwa..lakini utakuwa unajua muliplier effect waweza ku-deduce mwenyewe

  1. Barabara ya Lami kutoka Msata - Bagamoyo
  2. Ujenzi wa chuo kikuu Bagamoyo University
  3. Mradi wa barabara kiwango cha lami Mlandizi - Bagamoyo

  uliza zaidi
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unajitesa kwa ushabiki wako
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Miradi iko funded na pesa toka wapi?

  Ina employ watu wa ngapi?

  Ukubwa wa miradi statistically ( ina worth how much)

  shukran
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,863
  Trophy Points: 280
  wachina si ndio wameajiriwa hapa kweli?
   
 11. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu hebu cheki magazeti ya leo utapata majibu yako.
  Huko miundombinu hakuna uafadhali
   
 12. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wewe kasome gazeti la mwananchi la leo, miradi hii haijaanza na wakandarasi watatoa notice ya kusitisha kwa sababu serikali Imeshindwa kulipa hela za kuanza project.
   
 13. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Lipo tatizo kubwa sasa hivi kwenye management ya uchumi wetu. Rushwa imeachwa ifanye inavyotaka na ndio maana hata ukusanyaji wa kodi umeshuka. Kwa bahati mbaya kila project inayokuja kwa jina la kuleta ukombozi, kwa mfano ile ya umeme wa engine za diesel za Aggreko nayo ina halafu ya kitu fulani hakiko sawasawa.
  My worry ni kwamba sioni nia ya dhati ya kudhibiti hali hii mbaya ya uchumi ambayo taratibu inaanza kujitokeza. kama serikali haina hela basi impact yake itakuwa ni kubwa kwenye anguko la uchumi.
   
 14. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Topical,
  Kwanini unafikiri ni vyombo vya habari ndio vinaripoti vibaya? Ina maana hali halisi haiendani na nini vyombo vya habari vinaripoti?
   
 15. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Hakunaga kitu kama hichoV kwa sasa. Muwe mansikiliza news kwenye TV/Radios.
  Kwa taarifa yenu tu ni kwamba jana M/Kiti wa Kamati ya Bunge ya Miundo mbinu Mhe. Peter SeruADI YOTE YA BARAkamba alisema kuwa MIRADI YOTE ya ujenzi wa barabara kwa viwango vya LAMI imesimama. Kisa?? Hakuna hela.Wakandarasi wanaidai serikali more than 400 B/= Tshs.

  Serikali ya JK imefulia kinoma na Inflation kwanza ndo inazidi kupamba moto. Very soon Dollar inaenda kuwa na Tshs. 2,000/=au zaidi. Maisha hayakamatiki. Umeme hakuna na Viwanda vingi vimesimama au vinazalisha chini ya uwezo!!!!
   
 16. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  quot " KUMCHAGUA TENA KIWETE KUINGOZA NCHI HII LITAKUWA JANGA LA KITAIFA" by Dr Slaa
   
 17. m

  mashadoplantan Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Topical inamaana hajauona huu mtego?

  mwanzisha mada hana lolote

  atakae taka kuchangia ajue kuwa atadaiwa data za ku back up arguments. Mwenyewe keshasema huu si mjadala wa vyama vya siasa

  so I dont expect much kwani topiki kama hizi si saizi ya intelligence za wana JF (wa siku hizi)
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  so what's his way out?
   
 19. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #19
  Oct 19, 2013
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Huu mjadala una mashiko. Game Theory, Saint Ivuga, GEORGE Smile mpo tuanze kujadili?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...