Kwa halii hii Mbunge Bulj ametudhalilisha wakazi wa Mafia

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
nimeshtushwa na Michango ya Mbunge wetu wa Mafia kuhusu mustakabali wa kisiwachetu.Baada ya kulilia katiba mpya itayotuwezesha watu waMafia Kutumia Raslimali zetu za Uvuvi ambazo kila kukicha tunanyangwa na Watu wanaojiita Hifadhi ya bahari kwa mtutu wa bunduki ,katiba mpya kuhusu Sekta ya Elimu kwa watoto wa kimaskini.kujikita ktk kilimo cha kisiasa.Mbunge wetu alijikta eti katikamchakato waKatiba mpya kumshambuliaMzee wa Kipima joto wa ITV eti anapanga watu kupiga simu kuishambulia CCM.Kweli Bulj anaipenda CCM kuliko Kingunge?Nadhani ni wakati
 
Ulichangia kumchagua mbunge asiye na elimu na leo unalialia. Ulitegemea awe na mchango gani kwa level yake ya elimu?
 
Kwanza nampongeza sana mh.mbunge kwa kuongea kitu kikubwa sana ukilinganisha na elinu yake lakini kubwa zaidi kwa kutokuwa na elimu na kuingia bungeni.Nadhani itakuwa sehemu ya darasa kwa wakati mwingine kuwaleta standard 7 bungeni mjue kisa kofia na tishirt za yanga ni kosa nyi mlitegemea kupata faida ya milioni kwenye biashara ya mtaji wa miatano c miujiza hii big up mkuu keep it up!.
 
nimeshtushwa na Michango ya Mbunge wetu wa Mafia kuhusu mustakabali wa kisiwachetu.Baada ya kulilia katiba mpya itayotuwezesha watu waMafia Kutumia Raslimali zetu za Uvuvi ambazo kila kukicha tunanyangwa na Watu wanaojiita Hifadhi ya bahari kwa mtutu wa bunduki ,katiba mpya kuhusu Sekta ya Elimu kwa watoto wa kimaskini.kujikita ktk kilimo cha kisiasa.Mbunge wetu alijikta eti katikamchakato waKatiba mpya kumshambuliaMzee wa Kipima joto wa ITV eti anapanga watu kupiga simu kuishambulia CCM.Kweli Bulj anaipenda CCM kuliko Kingunge?Nadhani ni wakati

Mimi naona Bora yeye aliyetoa mchango wake wa mawazo bungeni. Je vipi wale waliotoa hotba kisha wakashindwa kutetea hotba yao na kuamua kutoka nje ya bunge. Mawazo ya wananchi wao walifikishaje?

tafakar
 
Baadae wakaenda Mbezi Beach na kutoka na hoja ya kuunda timu ya wahuni wenzao kwenda kumbembeleza Rais.
 
Huyo jamaa hana uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo! Kwani elimu yake ndiyo inampa uwezo wa kusema na kufikiri hayo anayoyapresent! Mlimchagua mlitegemea nini? Mkae kimya kwani mnatuongezea hasira mnapoleta upuuzi wenu huu, wakati tulipokuwa tunawaeleza juu ya ubaya wa ccm mlitupuuza, leo mnalialia!
 
kwakweli Wanatuongezea hasira hilo gamba mlichagua la nini kama nafikiri kwa "masaburi"
 
Huyo mbunge wa mafya na yule wa viti maalum wa Kutoka Pwani na wengine wengi waliokuwa wanatoa mipasho tu nadhani wanapashwa kwenda katika Taarabu. Ni upuuzi na maumivu kuwa na watu kama hawa eti wanajiita Wabunge!!
 
Back
Top Bottom