Dua maalum kwa watu wa mjini waliotangulia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dua maalum kwa watu wa mjini waliotangulia!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KIM KARDASH, Jan 13, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kwa heshima na taadhima tunapenda kuwafahamisha na kuwakaribisha katika hafla ya kuwaombea dua marafiki zetu waliofariki dunia katika kipindi cha miaka ishirini (20) hadi sasa.
  Marafiki waliobaki wa BRITISH LEGEON CLUB,SAIGON CLUB KARIAKOO,iliyokuwa TAZARA Club, Kinondoni pamoja na wengine wa Leaders Club, Bamboo Club (John Fedha), Hunters, Check Point, Break Point, Rose Garden, Octa's Pub (Ubalozi wa Ufaransa), Bakulutu, Railway Club Gerezani (Singa Singa) na wengineo wengi wamejumuika kufanya tendo hili la kuwakumbuka marafiki zetu siku ya Jumamosi Tarehe 14 Januari 2012 katika viwanja vya LEADERS CLUB ( KINONDONI).


  Ratiba:
  Marafiki na Waalikwa Kujumuika
  Hotuba fupiDua kusomwa na Sheikh na PadriChakula
  Chakula
  Mwisho wa Shughuli

  Yafuatayo ni majina ya marehemu tunao wakumbuka: -

  1 Ada Sykes,
  2 Angela Madondola
  ,
  3 Balozi Mbapila,
  4 Ben Branco,
  5 Bisanga Hamidu,
  6 Bupe,
  7 Chacha Marwa Boghas,
  8 Charles Lyimo,
  9 Charles Mbandwa,
  10 Choggy Sly,
  11 Costa Teffe,
  12 Eddy (Inn By The Sea) Moahamed Mbarak Salim,
  13 Eddy Sally,
  14 Emanuel Rweikiza,
  15 Eugine Kagolo,
  16 Farida Masoli,
  17 Frank Mutani,
  18 Four Cash,
  19 Gasper Akili,
  20 Geofrey Dahal,
  21 George Mazulla,
  22 Haji (Tanga),
  23 Hamphrey Akena,
  24 Hilda (Naomba 100),
  25 Ippy Malechela,
  26 Jimmy Mahimbo,
  27 Joshua International
  28 Juma Ngida,
  29 Kalio,
  30 Karuhinda,
  31 Ndala Kasheba,
  32 Kimambi,
  33 Kimambo NCCR,
  34 Levis (G8),
  35 Majuto Tazara,
  36 Manfred Kapinga,
  37 Mangappy,
  38 Mariam Donna Summer,
  39 Mavalla,
  40 Mbiku
  41 Mfanga,
  42 Mike Maro,
  43 Mine,
  44 Mr. Emanuel Mbando,
  45 Mr. Labarny,
  46 Mussa Ngoda,
  47 Mzee Assey,
  48 Mzee Bashwan,
  49 Mzee Joseph,
  50 Mzee Khatib Siraji,
  51 Mzee Mujaya,
  52 Mzee Mushi
  53 Mzee Samuel,
  54 Mzee Shetta,
  55 Mzee Soud,
  56 Mzee Tegissa,
  57 Mzee Yusuf Mandevu,
  58 Nassor Malocho,
  59 Ndealle Makere,
  60 Ng'itu,
  61 Nusura,
  62 Omary Sykes,
  63 Omary Urembo,
  64 Othman Maraha
  65 Othman Matusi,
  66 Othman Rungu (Matai),
  67 Pettie,68 PJ (Paul Mdachi),
  69 Rajab Mwajasho,
  70 Ramadhan Majungu,
  71 Ray Abdu,
  72 Rhoda Mbandwa,
  73 Rose Hosea (Mwajasho),
  74 Royal (Dotto)
  75 Royal (Kulwa),
  76 Rukia Mwajasho,
  77 Saad Suleiman (Tazara),
  78 Saidi Machupi,
  79 Sanga
  80 Shaaban Satto,
  81 Shaan Aspro,
  82 Super Mafuru,
  83 Tecla (TAZARA CLUB Staff),
  84 Temu Tuffe
  85 Tina Mzena,
  86 Tomito,
  87 Winston,
  88 Zaki Aman,
  89 Zumu,
  90 Swetu Fundikira,
  91 Mfinanga (G8),
  92 Saidi Bahamari,
  93 Titus Sam Kamata,
  94 Azaria,
  95 Engineer Ulimali,
  96 Asha Yanga,
  97 Mr. Mbando


  MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI WOTE WALIOTANGULIA


  "AMEN"
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Du!tumetoka mbali jamani. Ahsante sana Mkuu kwa taarifa hii muhimu,Moody Pizzaro ndo kanipa habari hii.Tutakuwa pamoja.
  E Mola warehemu marafiki zetu wote waliotangulia mbele ya haki!
  Ameen.
   
 3. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  na sisi SAIGON huwa tuna khitimisha lakini si katika kumbi za baa kama hawa walioandaa hii

  Im keen kujua Sheikh gani atafanya hii dua na wagala
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ni katika "viwanja" vya leaders sio katika bar ya leaderz,watu wa saigon pia wapo British Legeon usiisahau hii pia kamanda..
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  jamani,naomba tusiingize siasa katika hili,let us keep it simple as we have always done(maana sio mara yetu ya kwanza kusoma dua hii Leaders).
  hata marehemu cpt Mazula tulimuagia viwanja hivi jamani.
   
 6. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Da! inahuzunisha sana kwa kweli,wenzetu tulikua tunakula na kunywa nao pamoja wamezimika kama mshumaa kwenye upepo mkali na tumeshawasau,asante ROMANTIC kwa kutukumbusha ndugu zetu,lililopangwa na mungu halipingiki,wao mbele yetu sisi nyuma yao,mengi yalisemwa juu ya vifo vyao lakini mungu ndie anaejua sababu ya vifo vyao...
   
 7. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tangu lini waislam na wagala wakakhitimisha kwa pamoja?

  Na leaders nijuavyo mimi ni baa sasa hayo mengine mnayotaka kuuingiza ingizeni tuu lakini ndio ukweli wenyewe
   
 8. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dua ya mwaka jana walijazana wakristo ndio maana tunauliza leo waislam wameingizwa na tunaambiwa kutakuwa na sheikh sasa tunauliza je hao viongozi wa kanisa nao watasoma Yasini?

  Unless wamchukue yule sheikh wa BAKWATA wa mkoa lakini hakuna muislam mwnye kujua dini yake anaweza kushiriki kwenye shughuli kama hii
   
 9. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Basi wewe sio mzee wa saigon ninayoifahamu mimi,simba au yanga hawajawahi kufanya hivyo?dua ya mwaka jana walijazana wakristo?kwani aliyetoa idea si ni sisco au hufahamu sisco ni dini gani?we utakua umekuja baadae sana mjini aise,hizi club zote anzia saigon mpaka british huwa hazina dini,na ukumbuke hii sio shughuli ya kidini isipokua wahusika wana dini zao
   
 10. m

  mashadoplantan Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani sisco ni kiongozi wa kidini?
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Aaaah aaah ni kiongozi wa shughuli hii ya kuwakumbuka watu wa mjini waliotangulia mbele ya haki...
   
 12. m

  mashadoplantan Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nishasahau

  mnywaji yule

  atawapata hao hao wanywaje wenzie

  sie shughuli zetu hazifanywi baa
   
 13. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145

  Basi wewe sio mtu wa mjini mbona kila mwaka hii kitu inafanyika bila watu kama wewe kuwepo au unadhani ni mara ya kwanza mzee..
   
 14. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  kinondoni wabishi kitambo!
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Kaka Dito kasahauliwa jamani? Si alikuwa Saigon yule?
   
 16. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Maskin Dito... ameshasahauliwa...
   
 17. maranduhussein

  maranduhussein Senior Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuwakumbuka waliotangulia mbele ya haki jambo zuri sana ila namna gani tuwakumbuke,hii ndo hoja.Ina maana waandaaji hawajui wapo wakristu na waislamu ktk jambo hili zuri?Na wote wana namna zao za kuwakumbuka wale waliotangulia.Kwann ifanywe Leaders Club?Au kwa kua wapo waislam majina wanaopiga dubei?Waandaaji hawakutumia busara vinginevyo wanawatega Waislam.
   
 18. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  M/Mungu awalaze watoto wa mjini mahala wanapostahil,amen.Nalog off
   
 19. grey

  grey Senior Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sasa mkuu, hii mbona ni ibada ya wafu ambayo biblia inakataza? Hayo maombi yata base wapi? na ni kwa Mungu yupi?
   
 20. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  naomba unisaidie Mkuu,nini maana ya neno 'waghala'?
   
Loading...