Recent content by Masanja Lweyo

  1. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Usafirishaji wa Mizigo kwa Malori Makubwa: Jifunze Uzoefu, Miongozo, Faida na Changamoto Zake

    Na kit kngne madereva nao n Pasua kichwa unamtimzia kila kit lakn anakufanyia uhuni Mara auze tair mpya anunue mbovu njia nzma miyeyusho then inakuingza kwenye gharama zsizo na ulazma
  2. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Nimegundua biashara ya ng'ombe ni nzuri sana

    Ni biashara nzuri mbona unakuta ng'ombe unamnunua kwa 130k unauza kw 200k
  3. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vindala vya yebo yebo wazoefu wa kariakoo bei gani Kwa jumla? Nataka kupeleka kijiji inalipa Sana

    Ushaur mwingne wa bure ukiwa unaingia kwenye usifocus sana mwanzon kupata faida kubwa mfano yan ustake kujilingansha bei na wale wazoefu na wakongwe mwenye biashara ambao wao washajtengenezea hazna ya Wateja mfano umenunua mzgo kw 10000@ na Bei ya kwenda kuuza n 17000@kama wanavofanya wengi bas...
  4. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye biashara ya vitenge niwe nachukua mzigo Kariakoo naenda kuuza mikoani

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavojieleza. Mimi nataka kuingia mwenye biashara ya vitenge niwe nafata mzigo Kariakoo then naenda kuuza mikoani. Kwa ambaye anauzoefu kuhusu biashara anambie challenges za hii biashara.
  5. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza viatu, nguo za jumla kwa bei rahisi

    Hz raba mpk Leo bado znauzwa kw hyo bei?
  6. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Tunauza vitenge kutoka Congo kwa bei ya jumla na rejareja.

    Mbn bei kubwa san
  7. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nenda mnazi mmoja ding kule nd machimbo ya vitenge yapo
  8. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

    Dah fighting with government is like fight with stone
  9. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Nyimbo 100 Bora za muda wote mziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva)

    Zko poa
  10. Masanja Lweyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuolewa na mwanaume ambaye hana kazi na bado anaishi kwa wazazi wake?

    Kawaida t
  11. Masanja Lweyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

    Kuwa mpole mashart yakzd osha mbio
  12. Masanja Lweyo

    JamiiForums Tanzania Nachelewa kufika kileleni ninapokuwa na mmoja kati ya wake zangu

    Uwe unampetpet kwanza
Back
Top Bottom