Biashara ya Usafirishaji wa Mizigo kwa Malori Makubwa: Jifunze Uzoefu, Miongozo, Faida na Changamoto Zake

Nunua Bajaj 10. Funga GPS kabisa kwa siku bajaj moja inalaza 20,000 kwa siku una 200,000 kwa wiki jumatatu hadi ijumaa una 1.4 hesabu ya jumamosi inafanya service jumapili kwa mwezi Una 4.6M kila baada ya two month unaongeza bajaj nyingine unaongeza fleets za Bajaj unajikuta after two years una bajaj 20.

Habarini Wanajamvi.
Mimi ni kijana nina mtaji wa 70m natamani kuagiza fuso na kuja kuifanyia modification hapa ndani ya nchi (Tabata Dampo au Arusha) iwe tandam iweze kubeba tani 18. Sasa nauliza kwa wenye uzoefu na hiyo kazi, wanisaidie gharama za kufanya modification na ushauri kua biashara hiyo inalipa au vipi na pia wanipe changamoto zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba uzoefu wako kwny biashara ya bajaji. Bei yake mpk usajili inafika sh ngapi? Kuweka mkataba na kuweka deiwaka ipi bora zaidi?
Nunua Bajaj 10 ... Funga GPS kabisa kwa siku bajaj moja inalaza 20,000 kwa siku una 200,000 kwa wiki jumatatu hadi ijumaa una 1.4 hesabu ya jumamosi inafanya service jumapili kwa mwezi Una 4.6M kila baada ya two month unaongeza bajaj nyingine unaongeza fleets za Bajaj unajikuta after two years una bajaj 20

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa katika biashara, nataka kununua Mitsubishi canyer la kubeba Mizigo ya Mikoani na ndani. Sijawahi kufanya biashara yoyote ya kusafirisha mizigo wala ya magari aina yoyote. Ningependa kujua yafuatayo kutoka kwa watu wenye uzoefu na hii biashara;

1. Uchungu na utamu wa hii biashara.
2. Mambo ya kuzingatia katika kuendesha biashara hii.
3. Ni anina gani Fuso ambayo ndo ina faa kwa biashara ya aina hii.
4. Modification zinazotakiwa kufanyika kwenye gari mara baada ya kununua na wapi zinafanyika.
5. Wapi nitapata gari zuri/ website/link au kwa mtu anayeuza hapa hapa nchini.
6. Return on Investiment ikoje.
7. Mengineyo

Asante sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kit kngne madereva nao n Pasua kichwa unamtimzia kila kit lakn anakufanyia uhuni Mara auze tair mpya anunue mbovu njia nzma miyeyusho then inakuingza kwenye gharama zsizo na ulazma
 

Wakuu habari zenu?

Leo nimekuja kujadili kwa undani biashara ya malori

Ni wazi kwamba siku hizi sasa sie wakazi tunaotumia barabara ya morogoro road tutakuwa tumeshuhudia malori mengi yakitumia barabara hiyo yakienda sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi kwani tanzania imekuwa ndio geti la kupitisha bidhaa za nchi kama Malawi, Congo, Burundi, Zambia n.k

Na vile vile baada ya kuwa ICU kwa TRL na kusuasua kwa tazara kumetoa mwanya mkubwa sana kwa wafanyabiashara wa malori haya katika kufanya biashara hii.

Vilevile hii inatoa fursa na ajira kwa vijana kama madereva, utingo, makuli n.k

Hivyo basi leo nimekuja kutaka kujadili biashara hii

Kwani ni biashara ambayo inaonesha ukiwa na mtaji kama mil 400 unaweza anza na lori zako hata tatu kwa kuanzia halafu ukawa unapata tenda za mizigo pamoja na mafuta.

Humu naamini kuna wataalamu wa biashara hii kuanzia

Wamiliki
Madereva na watu wengi kadha wa kadha ambao wana idea na biashara hii kwa namna moja au nyingine bila kuwasahau wataalamu wa industry hii na wataalamu wa biashara.

Hii mada tunaomba tuijadili tuzungumzie kuanzia

(1) Risk zake
(2) Advantage zake
(3) Tips mbali mbali
(4) Matatizo yake
(5) Na nondo mbali mbali za kuzifanya

Ninatanguliza shukrani zangu kwa wachangiaji wote


WADAU WENGINE WENYE KUTAKA KUFAHAMU BIASHARA HII



MICHANGO TOKA KWA WADAU MBALIMBALI
Nimeelewa asee huu uzi
 
Habari,
Naomba Mwenye malori au kampuni ya usafirishaji wa mizigo anipe kazi niwe agent wake hapa mpaka wa Tanzania na malawi (kasumulu border) pia ntaweza kukagua gari za boss zimebeba mzigo gani wakati wa kurudi hapa mpakani. Nina uzoefu wa miaka miaka mitatu kwenye hii industry.

Pia ninajihusisha na ununuzi(dalali) wa mazao kama soya beans, mbaazi, karanga Nk, kutoka malawi

Unaweza ukaja ofisini kwetu au ukatuma mwakilishi wa kampuni tukaongea vizuri na tukasaini mikataba karibu kyela-kasumulu- border 0765891704.
 
Back
Top Bottom