Nyimbo 100 Bora za muda wote mziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva)

29 ni BWV ft dem aliyefanya Nakuhitaji ya Caz T na sio Lady Jay dee na Kabago peke yao!
 
Kuna tatizo kwenye huu muziki wetu wa sasa kiukweli kwenye top 100 tukianzia miaka ya 2000 zitakazoingia zinaweza zisifike 25!
Zinabebwa na Vidwo tuu ila audio hamana radha tarajiwa ya kimuziki kabisa ndio maana baada ya mwezi huitaki tena!
 
My millennium songs

1.NIMEKUCHAGUA -BOB LUDALA
2.SHEILA-ESTER WASIRA
3.AMORE -BABY MADAHA
4.SIKUKAMA HIZI -TID
5.MAPENZI MATAMU -RAYC
6.MOYO-ALICOM
7.MTU PESA -TWANGAPEPETA
8.MUHOGO WA JANG'OMBE -BI KIDUDE
9.GIRL FRIEND-TID FT JMO
10.MNG'ARO WA SILVA -NURUEL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom