jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,369
Dhl sidhan mana wanasafirisha kwa bei kubwa kidogo pengine sawa na bei ya bidhaa....ila wana free shipping japo inachukua muda kufika 10-20 posta
Mkuu ushawahi kununua kwa hii website
Dhl sidhan mana wanasafirisha kwa bei kubwa kidogo pengine sawa na bei ya bidhaa....ila wana free shipping japo inachukua muda kufika 10-20 posta
Yap nilipata kwa posta ya home niliyojazaMkuu ushawahi kununua kwa hii website
Yap nilipata kwa posta ya home niliyojaza
Acha shobo na punguza kujikuta mjuajiWewe siyo mfanyabiashara, na kama ndo unaanza hatuendagi ivyo mkuu... fanyia kwanza utafiti kitu unachotaka kufanya siyo kutuambia unataka kununua viatu kwa beli na viwe vya vijana; kama uko seriaz ungeomba ushauri kwanza jinsi ya kuendesha biashara siyo kuja kuulizia wap pa kupata bidhaa kwa jumla tena kwa belo
Biashara njema kiongoziAcha shobo na punguza kujikuta mjuaji
Una uhakika gani kwamba sijafanya utafiti?
UNANUNUA KATIKA WEBSITE YAO NA UNATUMIWA KWA NJIA UTAKAYOCHAGUA......PIA JARIBU ALIEXPRESS.COM
Vip ulifanikisha kupata mzigo huo kwa bei tajwa hapo ndugmkuu naona kwa hiyo bei ipo poa sasa utumaji ndo ishu pia sijui inatakiwa niwe na.sh.ngapi mkuu yakutuma
Naomba contacts za huyo dadaMuone dada """"apologise lady"""" ndo muuzaj mkuu. Kama unataka contact ntakupaaaaaaaaa
bei zake zipo juu sana
Mkuu naomba unisaidie namba ya Apologise ladyMuone dada """"apologise lady"""" ndo muuzaj mkuu. Kama unataka contact ntakupaaaaaaaaa