Sijawahi kufikiri kama machali unaweza kufikiri na kuongea mfano wa hivi ulivyoongea!mm si muumini wa upande wowote wa siasa na kusema ukweli kabisa sijawahi kumpiga kura yoyote mwaka wowote zaidi ya mwaka juzi serikali za mitaa tu!hii inathihirisha kua mm sina imani na wanaoiongoza...
Punguzeni dharau,elewa sisi wote anaetupa hivi vitu ni mmoja,wewe Leo unacheka pagale langu wakati pengine wewe hata choo tu huna!pengine hata kiwanja tu cha kuweka hicho choo huna.mm kwa kweli namshukuru Mungu kunipa pagale.Na kwa zarau zako hizi sijui kama wewe utapata hata pakukaa?utapangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.