ukhuty.. we utakuwa wa uswazi...Utakula ulikopeleka mboga
.Hata kwetu Wapo
.Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Utam wa kazi pesa

Joh Makini anasema FUKARA HAFILISIKI.Poteza nauli ujue njia za mkato
Masikin halali mchana
Hata akina Sisi MEN!Ukipenda chipsi usiogope mimba
Mama Hama Na mwanaomama mkanye mwanao
Hata kitumbua nacho Ni kidogo lakini kinaleta mtotoMemory card ndogo lakini inailiza sub woofer
Hii ni kwel kabisaMbwa wa boss ni boss wa mbwa wengine