Punguzeni dharau,elewa sisi wote anaetupa hivi vitu ni mmoja,wewe Leo unacheka pagale langu wakati pengine wewe hata choo tu huna!pengine hata kiwanja tu cha kuweka hicho choo huna.mm kwa kweli namshukuru Mungu kunipa pagale.Na kwa zarau zako hizi sijui kama wewe utapata hata pakukaa?utapangaa mbaka ujute