Recent content by Marlenevdc

  1. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania Fikra za Mwalimu: Hizi hapa.. mzikubali au mzipinge!

    Mkuu, zNahisi kama vile kauli zako (hapo juu) umezitoa akilini na mdomoni mwangu! Especially unaposema "alikuwa na mapungufu makubwa ambayo baadhi yake ndio yametufikisha tulipo as a nation." Respect!
  2. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania TRA 'most corrupt in EA'

    The research proves what we all know for years! TRA is a MAJOR stumbling block to smooth flow of commodities to and from Tanzania. Consequently, lack of efficiency, increased costs, less taxes to government and general marasm to our economy as a whole. The tricky part, EVERYBODY in TRA knows...
  3. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu

    Rekodi sawa, lakini pana hitilafu hapo juu!
  4. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania Picha Ambazo Rais Obama Hapendi wewe Uzione

    Mkuu, Hizo picha zote zilikwishatolewa hadharani tangu wakati wa utawala wa GW Bush. Sioni sababu ya kuunganisha hizo picha na kichwa cha habari kama ulivyokiweka! Alichokataa Obama, baada ya kukubali kuzitoa rasmi mwanzoni, ni kuzitoa upya baada ya kushauriwa hivyo na washauri wake, ili...
  5. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania On the Illusion of Tranquility

  6. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania The Nobel Peace Prize 2010 is for J.K. Nyerere?

    Shy Suppose (hypothetically) this applied to Nyerere: What field do you suggest that he be given the Nobel Prize? I know for sure that: They do not honour failed policies: ujamaa na kujitegemea! They do not honour supporters of insurgencies and leaders who have brought about the fall of...
  7. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania The Nobel Peace Prize 2010 is for J.K. Nyerere?

    Hivi saa ngapi alikuwa anaongoza nchi? Naona alijikita kwenye kuandika vitabu tu! Na nikiangalia vitabu: Siasa ni kilimo - what the hell that is supposed to mean? 50 years on, what is happening with our kilimo? Kilimo cha umwagiliaji maji - where did he practice that? As a country, when...
  8. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    His policies have contributed to a lot of dismal performance of our economy. His rule has not solved ANY of our major calamities: UJINGA, UMASIKINI, NJAA NA MARADHI. So I don't see any big deal. To be fair on him, he was a far better leader than what HE LEFT US WITH!
  9. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania Serikali yapoteza dola bil 1.5 sekta ya madini

    Sad, sad, sad truth!!
  10. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania BOT - Nepotism: Mwinyi, Mkapa, Sumaye, Lowassa et al.

    Think that it is BOT that is expected to be in-charge of macro-economic policies Think that it is BOT that is expected to regulate all other banks and financial institutions in the country. Think that it is BOT that is expected to monitor inflation, value of TShs, international transactions...
  11. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania Wabunge wahoji Sh19bn kwa ajili ya chai, vitafunwa?

    Hivi maji ya kutengenezea chai zote hizo wanatoa wapi!?! Ikiwa chai inanywewa kwa milioni 1,5 kila siku inakuwaje wakati wa mgao? Wanapika kwa kuni? Na kama hawanywi siku kama hizo (za mgao) na J2, ina maana zinazobaki wanahamishia kwenye lunch?
  12. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

    ka slogan huko AU pia wanakajua! Origin ni mwenyewe Kwame Nkrumah! JK anapigwa pande zote, na kama hatoanza kuwa mahiri, yote yatamtokea puani!
  13. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    Na ndiyo sababu kikawekwa kipengele cha kutomuonyesha "asiyehusika moja kwa moja". Ujinga wa aliyesaini mkataba huo kwa niaba ya serikali hausemeki! Ujinga wa aliye negotiate mkataba huo kwa niaba ya serikali pia hauna kikomo! Wakati katiba ya chama "kitukufu" inasema kuwa serikali ni...
  14. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM - Mtego unasao?

    My bet ni kuwa we may be expecting a lot from CC. After all, it is not in their interst to appear they have done anything extraordinary to their long term cadre. They know this and they will avoid that at all costs, even if anything really happened. Remember how they all dissapeared from Dodoma...
  15. Marlenevdc

    JamiiForums Tanzania Rais JK

    Well said...
Back
Top Bottom