Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
599.jpg

Kutokana na jinsi kiuno chake kilivyo chembamba sana watu wengi ambao huona picha zake hudhania labda ni picha za kutengenezwa kwa kutumia photoshop lakini ukweli ni kwamba mwanamke huyu yupo kweli duniani na ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia ya binadamu mwenye kiuno chembamba kuliko wote duniani. Pichani Cathie Jung mkazi wa Connecticut Marekani ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na kiuno chembamba sana kuliko watu wote duniani akiwa na kiuno chenye ukubwa wa inchi 15 (sentimeta 3 tu)http://www.nifahamishe.com/photos_news.aspx?topic=145
 
Rekodi sawa, lakini pana hitilafu hapo juu!
 
Duuuh!
kwa hesabu hizo nishushe hapahapa!

"inchi 15(3cm)????????????????

_________________________________
"Utamu wa Pipi Mate yako!!"
 
599.jpg

Kutokana na jinsi kiuno chake kilivyo chembamba sana watu wengi ambao huona picha zake hudhania labda ni picha za kutengenezwa kwa kutumia photoshop lakini ukweli ni kwamba mwanamke huyu yupo kweli duniani na ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia ya binadamu mwenye kiuno chembamba kuliko wote duniani. Pichani Cathie Jung mkazi wa Connecticut Marekani ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na kiuno chembamba sana kuliko watu wote duniani akiwa na kiuno chenye ukubwa wa inchi 15 (sentimeta 3 tu)

Noma mkuu,1 inch = 2.54 centimeters hivyo basi 15inches=38.1cm.

Ili upate picha vizuri hii ni karibu sawa na kipenyo cha sentimeta 12!
 
Kutokana na jinsi kiuno chake kilivyo chembamba sana watu wengi ambao huona picha zake hudhania labda ni picha za kutengenezwa kwa kutumia photoshop lakini ukweli ni kwamba mwanamke huyu yupo kweli duniani na ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia ya binadamu mwenye kiuno chembamba kuliko wote duniani. Pichani Cathie Jung mkazi wa Connecticut Marekani ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na kiuno chembamba sana kuliko watu wote duniani akiwa na kiuno chenye ukubwa wa inchi 15 (sentimeta 38) tu.

598.jpg

596.jpg

592.jpg

Picha zaidi http://www.nifahamishe.com/photos_news.aspx?topic=145&&NewsId=599
 
Hii haikubaliki kuwa na 3cm labda hana nyama na kama mifupa siyo 3cm?
biologically human body configaration haiwezi kuwa hivyo.
umetoa kwenye kitabu kipi na amepata tuzo ipi au ameingizwa kwenye kitabu cha guines mwaka gani?
 
sasa mbona hapo chini ya kiuno kumeumuka utadhani mzigo wa nyuma umegeukia mbele na mbele kukaenda nyuma?
 
Nadhani jamaa kachemka kidogo kwenye vipimo. Sahihi ni kama hii kutoka wikipedia.

Cathie Jung (born 1937) is an
American Victorian dress and corset
enthusiast residing in Old Mystic,
Connecticut , United States, who
currently holds the Guinness World
Record for the smallest waist on a
living person. Jung, who is 1.65 m
(5 ft 5 in) tall , has a waist that
measures 38.1 cm (15 inches). [1
 
Kilema si lazma mguu mmoja uwe mfupi! Hata huyo ni kilema au mlemavu kwa lugha nyingine
 
Uyo kwa mujibu wa historia yke iko kiuno alikuwa anakitengeneza kwa kujifunga na mkanda masaa 24 hata anapolala hulala na huo mkanda.

Huyo ni mama mtumzima na ameolewa na ana watoto watatu.yeye mwenyewe anaona fahari the way she looks but mi naona kila jambo lina kipimo chake kwa maana mi binafsi cjaona km anaonekana mrembo zaidi watu wengi hata uko marekan wanamwona kituko...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom