Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,303
- 39,649
Lowassa anaelekea kwenye kapu la historia. Sidhani kama anao ujasiri wa kujiunga na chama cha upinzani (most likely CHADEMA). Lakini akifanya hivyo kuna kila dalili akakisumbua sana CCM kule Monduli kama ilivyo kwa Slaa hivi sasa. Je CHADEMA wako tayari kumpokea? Watawaeleza nini wananchi?
Ni jambo la kusubiri na kuona!
...Kwa siasa za tanzania hilo kamwe halitokei. maana chama dume ni kama banda lifugao alligators ambapo wakishakomaa wanaingizwa kwenye mbuga ya kondoo wakajilishe huko.
sahau sahau kabisa kwamba mtu asiyefaa kama white head atafutika. anarudi tena kwa kasi ya ajabu. Mnakumbuka waliokusanyika nae majuzi kati ktk uzinduzi wa diary ya mkewe? unakumbuka maaskofu walisema nini?
tuna safari ndefu saaaana kuelekea tusikokujua