Picha Ambazo Rais Obama Hapendi wewe Uzione | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha Ambazo Rais Obama Hapendi wewe Uzione

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 2, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Picha Ambazo Rais Obama Hapendi wewe Uzione

  [​IMG]

  Meja jenerali mstaafu wa jeshi la Marekani Antonio Taguba ambaye alifanya uchunguzi wa picha za utesaji wa wafungwa nchini Iraqi ambazo zilipigwa wakati wa utawala wa rais wa zamani wa Marekani George Bush, amesema kuwa anamuunga mkono rais Obama kuwa picha za utesaji wa wafungwa kwenye jela ya Abu Ghraib nchini Iraqi hazifai kuwekwa hadharani kwakuwa ni za kutisha sana zilizojaa ukatili na zitajenga chuki kwa askari wa Marekani. Gonga Picha ndogo kwaajili ya Picha Kubwa [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. Marlenevdc

  Marlenevdc Member

  #2
  Jul 2, 2009
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu,

  Hizo picha zote zilikwishatolewa hadharani tangu wakati wa utawala wa GW Bush.
  Sioni sababu ya kuunganisha hizo picha na kichwa cha habari kama ulivyokiweka!
  Alichokataa Obama, baada ya kukubali kuzitoa rasmi mwanzoni, ni kuzitoa upya baada ya kushauriwa hivyo na washauri wake, ili kulinda hisia za wahusika(wa- Iraq) dhidi ya majeshi ya USA
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Ni kweli hizi zote ni utawala wa Bush nafikiria walishaomba radhi kama sikosei hata Iraq pia waliwafanyia mateso kama haya...walishaomba radhi na askari wengi walirudishwa na kupewa adhabu.....
   
 4. B

  Bob K Member

  #4
  Jul 2, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa na wewe kama una akili timamu mbona unaendelea kuweka picha hizi mtandaoni ulielewa vizuri mkuu Obama alimanisha niniunanipa mshaka juu ya uwelewa wako inaonekana wale aliyowakatalia obama nawe kundi moja yaani tayari unagusa hisa za wahtika ni sawa sawa ukute mtu karudia picha ya mwisho iluiyosababisha wale wajinga wa the utamu kaitundika mtandaoni anajifanya kuleta mjadala itakufurahisha achaa bwana yaani mi sijaipenda hiii mipicha yako naomba uitoe haraka. wana jf ni watu makini mbona wewe unatutia mshaka.,'1`!!!???/
   
 5. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kuna picha ilitundikwa kwenye thread hapa JF.

  Pata ukweli wake kwenye hii attachment
   
  Last edited: Jul 14, 2009
 6. U

  Ulusungu Member

  #6
  Jul 14, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh.mbona hamna kitu mkuu
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  kaaaaaaaaazi kwelikweli
   
 8. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #8
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli mkaa mweupe..! maana hauonekani kabisa.!
   
 9. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamanii eee labda ni attach tena maana naona inanikatalia
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kwanini usijaribu kutumia Jamii Image Host?
   
 11. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh! Ama kweli!
   
 12. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Samahanini sana wanajamii, najaribu ku upload clip kwa kutumia Manage Attachment ila inaishia kwenye kusend request halafu ina freeze. Msaada kwenye tuta kama kuna njia nyingine. Mod upo?
   
 13. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hawa wamerakani sijui kama wana dini, na kama wanamfahamu mungu, kwa picha hizi na unyama huu hata firauni hakuwa hivi nadhani...hakuna mwenye akili timamu atakubali ujinga kama huu..I give big up walioamua kushika silaha na kuwa kwenye uwanja wa mapambano this is the only better thing to do kwa mtu mjinga kama Amerika
   
 14. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mhhh zinatisha kwa kweli ni balaa
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Hivi Obama anatoka wapi na huu ufisadi hata asipede watu wauone??????????????
   
 16. P

  Percival JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,568
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kuna picha nyingine amabazo hazikutolewa ambazo ndio tawala zote za Bush - Obama hawataki zionyweshwe sababu sitaleta uhasama zaidi. Hizi picha ni mlizoona ni tone katika bahari kwa hayo maovu aliyofanywa na hawa wanaohubiri haki za binaadamu. Hata Obama ni yale yale wote kitu kimoja la sivyo asinge aminiwa kua rais.
   
 17. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  cjawahi kuipenda Marekani ktk maisha yangu na cntoipenda
   
 18. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,151
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Obama hausiki hapo..hiyo ni kazi ya g. Bush..manyanyaso ya wafungwa iraq gereza la abu gharib.
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Duh kazi kweli kweli, yaani watu wanateswa na kuuliwa kwa makusudi alafu ndugu jamaa na marafiki wanaombwa radhi...! Just like that...! yaani kama aliyepata hayo mateso si binadamu.

  Watu wakilipa visasi, wataitwa majina ya ajabu ajabu.
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hiyo mambo ya wakati wa BUSH unasema OBAMA, kweli MAISLAM ni akili bandia.
   
Loading...