Recent content by maritanga

  1. maritanga

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    du mungu amrehemu aliye fany a hayo kwa mpiganaji wetu hawa magamba wamemlisha nini
  2. maritanga

    Mwanzo mzuri: CCM kura 36,000+ Mpaka 26,000+ na CHADEMA kura 0 mpaka kura 23,000+

    viva chadema viva 2015 tutachukua jimbo letu na nchi yetu
  3. maritanga

    Teaching job

    ila jaribu ustawi wa jamii zipo post
  4. maritanga

    Teaching job

    kaka usisaha kusali unapo tuma cv zako
  5. maritanga

    Halima Mdee ndani ya Kombati akisoma hotuba yake

    viva mdee people powerrrrrrrrrrrrrrrrrr hadi kieleweke mungu yu nasi kuwaondoa hawa magamba
  6. maritanga

    Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    msando mambo yanasemaje kuhusu ilo je sheia ya nchi inaruhusu hilo kama sio je ushauri wa kisheria utakuwaje kuhusu hilo naomba nijuze hilo nijue
  7. maritanga

    Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM?

    du wakuu mbona hamkumbuki uhasibu arusha au sio chuo cha accounting &finance umahiri wake unatisha wako professional; zaidi
  8. maritanga

    Nape Nnauye na Ugoro wa Babu

    mkuu namshauri huyo aje kulingana na elimu na kigezo cha uelewa bado utakuwa mdogo sana inaonyesha zairi muda aliokalia madawati ni mrefu hali tu asiropoke ,angalizo kwake aende kwanza kuapa shahada tofaut na hiyo ya damu ya ccm
  9. maritanga

    Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

    mkuu hana hata picha moja
  10. maritanga

    NEC wajadili kuwavua uanachama wa CCM Lowassa, Rostam na Chenge

    kubadili n mafisadii si ushindi bali nikujichimbia kaburi chadema bado wanapeta sana kwa hiyo ccm ndio wanazidi kujifukia
  11. maritanga

    Hodi hodi hodi

    Be specific on you matter which and on what topic/thread
  12. maritanga

    DOWANS waisamehe TANESCO deni lote!

    du hapa bado nipo sipo (d'lema) kumbukeni kunasiku ilikuja ama kuwa budget za kila wizara zilipunguzwa kulipa dowans je amuoni kuwa yawezekana wamelipwa halfu wanatupiga chenga la macho hawa mafisadi mie ninaomba kama kuna udhibitisho wa kusamewa uwekwe jamvin tuusome
  13. maritanga

    Dr. Salim A. Salim aula Mo Ibrahim

    cngrats Dr wa ukweli sism walikubania tu lakini wewe ni wa ukweli
  14. maritanga

    Dr Slaa tunakusubiri UHURU

    preseder ajaja bado mlio karibu nae naomba mumushauri aende kuwasalimia wananchi wake as
  15. maritanga

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    kuhusu nini mkuu tu juze sie tyupo oficin je ana jipya kujiuzulu tu
Back
Top Bottom